witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16] anazingua huyu, baa imeungua jana leo ndo kapata mzux wa kwenda[emoji23][emoji23][emoji23] huu ukorofi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16] anazingua huyu, baa imeungua jana leo ndo kapata mzux wa kwenda[emoji23][emoji23][emoji23] huu ukorofi
Eti[emoji848]Kuna rahisi na toka lini mtu aka invest hela yake kwenye biashara kama hiyo??aspend 1 Billion kama watu wanavyosema humu ndani??watu tunaongea hali halisi kutokana na experience na sio tunaropoka....Nyumba ambayo nataka kupangisha ambayo sitoishi alafu nika invest mabillion ya hela wakati me nipo kibiashara zaidi.....
Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu
Huyo si anakuwa anatafuta mademu ndugu yangu...so anaenda kama tego paleDah maisha ya kuigiza haya mimi mbona yamenishinda [emoji848]
Kama vitu vingi aliagiza nje $ ilikuwa juu ya Tz inawezekana.. hiyo ni around kwenye $ 350,000 tuMmmmh mmmmh 1b??[emoji15][emoji15][emoji15]
Ninakataa kwa nguvu zote, khaaaa chagas[emoji102][emoji88]
Na hiki ndo kilichotokea hapo sinza mori...mjini mipango[emoji126][emoji126]Kwa akili zako kidogo tu ulizonazo, unaamini kwamba heavy investment kama hiyo haikuwa na bima ya moto? Unafahamu kwamba wapo wanaochoma magari na majengo yao kwa makusudi ili walipwe fedha nyingi mara 5 ya thamani ya kilichoungua? Na hii michezo wanashirikiana na maafisa wa Fire, bima na mwenye mali, wote wanagawana mgao
Huyo si anakuwa anatafuta mademu ndugu yangu...so anaenda kama tego pale
Ni ile gusa unase[emoji16][emoji16]
1 billion ni pesa ndogo sana kwenye uwekezaji. Kwa wafanya biashara wanajua, ila kwa mtu wa kutenga mikono hawezi elewa anaona ni hela nyingi sanaMkuu unajua nin.. 1b ni hela nyingi sana ukiitamka mdomoni. Lakini ukipiga gharama ya kufanya investment eneo kubwa kama lile, kufanya renovations, ujumlishe na vikorokoro vyote vilivyoko pale, bado kama eneo amekodisha maanake amelipa kodi let say ya mwaka au miaka miwili, aisee hata kama haitafika b lakini m600 - 800 zinaweza katika.
Wapokea mishahara ukitaja 1 billion, wanaona kama hela kubwa sanaa.. wakati hela ya kingese sana hiyo kwenye investment. Tena usipoweza manage vizuri lazima ufurahi na roho yakoHahaha acha dhereu, last minute ilikula si chini ya 150M! Ndugu yangu ndio aliisimamia design toka inaanza to the end.
Kwa statement hii tu wewe hamna kitu mala mbiliNyumba ambayo nataka kupangisha ambayo sitoishi alafu nika invest mabillion ya hela wakati me nipo kibiashara zaidi.....
Wanakuambia 1b ni bajeti ya wizara 😂😂😂Wapokea mishahara ukitaja 1 billion, wanaona kama hela kubwa sanaa.. wakati hela ya kingese sana hiyo kwenye investment. Tena usipoweza manage vizuri lazima ufurahi na roho yako
Yah kwenye biashara hela hio madogo tu kina fredy vunjabei wanacheza nayo ila mtu anaesubiria Makato ya HESLB, PAYE, WCF na NSSF lazma aone miujiza.Wapokea mishahara ukitaja 1 billion, wanaona kama hela kubwa sanaa.. wakati hela ya kingese sana hiyo kwenye investment. Tena usipoweza manage vizuri lazima ufurahi na roho yako
Wanajifurahisha tu..Wanakuambia 1b ni bajeti ya wizara 😂😂😂
Tuwaache tuWanajifurahisha tu..
Ha ha ha nimecheka kwa sauti kali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu
Hayupp kwenye Grid mkuu. Mbona mnapenda sana kuvumisha vitu ambavyo havipo ?Unataka nawee akuunge kwenye grid ya taifa...tuulizen kwanza watoto wa mjin sio mnavamia tu kama dogo janja muanze kukohoa na kupungua uzito..(jokin)
Ukiwa la chalz kusepa ni ngumu asee, washikaji waliishiwa ikabidi nibebe jukumu...hapo ndo kesho yake nilipiga ukunga wa kimakonde, 1m kushneyMna ma hela ya kucheze eeeh [emoji849][emoji849][emoji849]..
Nikienda sehemu nabeba 50,000 - 30,000. Simu haina mobile money, sina card ya bank. Yaani hiyo ikiisha ndio imeisha nasepa zangu
Kuna raia juzi kati kanunua floor 3 Palm Village @400M hapo Mikocheni ni chap tu kwa wire transfer sasa nikikuta mtu anashangaa investment ya 150M najiskia hata kucheka 😂😂😂Wanakuambia 1b ni bajeti ya wizara 😂😂😂
Haina haja ya kuumizana vichwa na mtu mwenye mentality negativeTuwaache tu