witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tuKama vitu vingi aliagiza nje $ ilikuwa juu ya Tz inawezekana.. hiyo ni around kwenye $ 350,000 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tuKama vitu vingi aliagiza nje $ ilikuwa juu ya Tz inawezekana.. hiyo ni around kwenye $ 350,000 tu
Ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23]nawajua hao mimi huwa siwageukii
Wanawapata ma slay queen macho juu juu
Unakuta kaka msafi,ananukia,kaweka funguo yake hapo juu au kaning’iniza kapanga simu zake,analamba kinywaji hicho hicho muda unasonga [emoji28][emoji28][emoji28]
Slay queen anaweza kunasa kirahisi hapo kumbe mwenzie ni showoff tu ukienda kwenye maisha halisi unachoka
Acheni dharau[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Yah kwenye biashara hela hio madogo tu kina fredy vunjabei wanacheza nayo ila mtu anaesubiria Makato ya HESLB, PAYE, WCF na NSSF lazma aone miujiza.
La chalz na ndio nilikuwa naenda na hiyo 30,000 - 50,000 na ninatoka salama kabisa. Pesa na iheshimiwe 😀😀😀😀. Nikifika pale naagiza portion moja ya mbuzi na ndizi, mbili. Maji madogo au makubwa na redbul na popkoni zangu. Offer yangu kwa wadada walio kuwa wanajipendekeza kwangu ni buku moja tu, wanajijaza ila ikishatoka hiyo buku ndio nitoleeUkiwa la chalz kusepa ni ngumu asee, washikaji waliishiwa ikabidi nibebe jukumu...hapo ndo kesho yake nilipiga ukunga wa kimakonde, 1m kushney
Huwa nafurahi sana nikisoma comment kama hizi. Wewe una bilioni ngapi hadi uwe na nguvu ya kusema 1b ni ndogo ? Umewekeza bilioni ngapi?1 billion ni pesa ndogo sana kwenye uwekezaji. Kwa wafanya biashara wanajua, ila kwa mtu wa kutenga mikono hawezi elewa anaona ni hela nyingi sana
Na ukikaa sana ndan michongo na elimu za utaftaj huwez kuwa nazo..na ndo hapo watu wanapopigwa ma gap....toka nje jifunze...akili ina changamka unaona dah.kumbe niko nyuma ya muda eeh wenzangu wanasonga mbele.kaa na watu ongea nao.michongo huja kiutan utan ma huwez amin....mwaka jana nakumbuka tulikua mahala flan kwenye pombe hiz hiz..kuna jamaa katika stor na washkaj akawa anatafta catering kwenye event flan ya awards hiz za mwisho wa mwaka huwez amin...niliudaka ule mchongo as if nna catering ..nikamrushia dada angu m1 akanitoa 1m ya buuure kabisaaa..Hongereni kwakweli kwa kuweza kuishi hivyo...
Ni kipaji na si kila mtu anakiweza
Wanasemaga tafteni hela jamani!Acheni dharau[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Mwambie wew dada angu...hahahahaHuyo si anakuwa anatafuta mademu ndugu yangu...so anaenda kama tego pale
Ni ile gusa unase[emoji16][emoji16]
Siongelei kukisia, maana hapa watu wanakataa kuwa haifiki 1 billion kwa kukisia in negative view. Nimeiweka kwenye kila kitu kachukua kipya , kama mengine amechajachukua sijui. Ila kwa makadirio ya pale bila kuwa na negative view, 1 billion inafika. Sidhani kama Bima alipeleka mahesabu ya vitu chakavuMavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tu
Mimi nimewekeza nje ya nchi,.nikizitaja hapa ntaonekana "Kidukulilo" ilihali.sipendi show offs!Huwa nafurahi sana nikisoma comment kama hizi. Wewe una bilioni ngapi hadi uwe na nguvu ya kusema 1b ni ndogo ? Umewekeza bilioni ngapi?
Ha ha ha kama umewekeza billions unaweza kusema 1b ndogo. Trust me Mo hawezi kusema 1b ni hela ndogo sana ila sisi tusionazo ndio mabingwa wa kusema hela fulani ndogo tu.Mimi nimewekeza nje ya nchi,.nikizitaja hapa ntaonekana "Kidukulilo" ilihali.sipendi show offs!
Siongeag na watu wa mkoani.Hayupp kwenye Grid mkuu. Mbona mnapenda sana kuvumisha vitu ambavyo havipo ?
Nazunguzia katika uwekezaji mkubwa, na watu tunao fanya nao biashara na walio tuzunguka na hata katika shughuli tunazofanya hiyo hela ni ndogo na inahitaji managemnt ya hali ya juu sana, sio kama ambavyo tunaitazamia wengi. Nimeishafanya mradi wenye hiyo thamani sehemu na namna ilivyokuwa inakatika hela nikasema asalaleeee .... ni nyingi na ni ndogo, ila inategemea umeiweka wapi mkuu. Point yangu ya kusema ndogo nimeangalia na aina ya uwekezaji wa jamaa pale, kama hakuwa na magumashi hiyo hela ni ndogo pale, na ndio maana kuna mtu humu inaonekana wanajuana anasema hata hali ya kipesa ya jamaa imeyumba toka amewekeza hapoHuwa nafurahi sana nikisoma comment kama hizi. Wewe una bilioni ngapi hadi uwe na nguvu ya kusema 1b ni ndogo ? Umewekeza bilioni ngapi?
Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.Na ukikaa sana ndan michongo na elimu za utaftaj huwez kuwa nazo..na ndo hapo watu wanapopigwa ma gap....toka nje jifunze...akili ina changamka unaona dah.kumbe niko nyuma ya muda eeh wenzangu wanasonga mbele.kaa na watu ongea nao.michongo huja kiutan utan ma huwez amin....mwaka jana nakumbuka tulikua mahala flan kwenye pombe hiz hiz..kuna jamaa katika stor na washkaj akawa anatafta catering kwenye event flan ya awards hiz za mwisho wa mwaka huwez amin...niliudaka ule mchongo as if nna catering ..nikamrushia dada angu m1 akanitoa 1m ya buuure kabisaaa..
Sio hilo ..yapo meng..sis wengne tumejifunza ujasiriamal hukuhuku kwenye michanganyiko....wee kaa ndan dada angu ..kama ni mke wa mtu endelea hvyo hvyo for safety..ila kama ni mdada ...kukaa ndan sio sifa
Hahaha.usicheke buanaHa ha ha nimecheka kwa sauti kali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
Ha ha ha.Nazunguzia katika uwekezaji mkubwa, na watu tunao fanya nao biashara na walio tuzunguka na hata katika shughuli tunazofanya hiyo hela ni ndogo na inahitaji managemnt ya hali ya juu sana, sio kama ambavyo tunaitazamia wengi. Nimeishafanya mradi wenye hiyo thamani sehemu na namna ilivyokuwa inakatika hela nikasema asalaleeee .... ni nyingi na ni ndogo, ila inategemea umeiweka wapi mkuu. Point yangu ya kusema ndogo nimeangalia na aina ya uwekezaji wa jamaa pale, kama hakuwa na magumashi hiyo hela ni ndogo pale, na ndio maana kuna mtu humu inaonekana wanajuana anasema hata hali ya kipesa ya jamaa imeyumba toka amewekeza hapo
Nafikiri umeangalia in negative view. 1 biliion ni ndogo na ni nyingi, inategemea umeiweka wapi. Nimezungumzia udogo wake kwa aina ya uwekezaji wa pale na mtu kupinga kwa kuona hela nyingi. Sijasema ni ndogo in term of thamani yake. Ila kwakua umeamua kuelewa ulivyo elewa pia ni njemaHa ha ha kama umewekeza billions unaweza kusema 1b ndogo. Trust me Mo hawezi kusema 1b ni hela ndogo sana ila sisi tusionazo ndio mabingwa wa kusema hela fulani ndogo tu.
Ha ha ha.Nafikiri umeangalia in negative view. 1 biliion ni ndogo na ni nyingi, inategemea umeiweka wapi. Nimezungumzia udogo wake kwa aina ya uwekezaji wa pale na mtu kupinga kwa kuona hela nyingi. Sijasema ni ndogo in term of thamani yake. Ila kwakua umeamua kuelewa ulivyo elewa pia ni njema
Ni vizuri kuustua ufukara. Acha waongee tu msoto sio mchezo!Ha ha ha kama umewekeza billions unaweza kusema 1b ndogo. Trust me Mo hawezi kusema 1b ni hela ndogo sana ila sisi tusionazo ndio mabingwa wa kusema hela fulani ndogo tu.
Acha niendelee kuuza mahindi nifike stage ya kuona 1b ni hela ndogo sana.Ni vizuri kuustua ufukara. Acha waongee tu msoto sio mchezo!