Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

[emoji23][emoji23][emoji23]nawajua hao mimi huwa siwageukii
Wanawapata ma slay queen macho juu juu

Unakuta kaka msafi,ananukia,kaweka funguo yake hapo juu au kaning’iniza kapanga simu zake,analamba kinywaji hicho hicho muda unasonga [emoji28][emoji28][emoji28]
Slay queen anaweza kunasa kirahisi hapo kumbe mwenzie ni showoff tu ukienda kwenye maisha halisi unachoka
Ha ha ha

Wakaka wa sinza wengi ndo zao hizo[emoji16][emoji16]
 
Ukiwa la chalz kusepa ni ngumu asee, washikaji waliishiwa ikabidi nibebe jukumu...hapo ndo kesho yake nilipiga ukunga wa kimakonde, 1m kushney
La chalz na ndio nilikuwa naenda na hiyo 30,000 - 50,000 na ninatoka salama kabisa. Pesa na iheshimiwe 😀😀😀😀. Nikifika pale naagiza portion moja ya mbuzi na ndizi, mbili. Maji madogo au makubwa na redbul na popkoni zangu. Offer yangu kwa wadada walio kuwa wanajipendekeza kwangu ni buku moja tu, wanajijaza ila ikishatoka hiyo buku ndio nitolee
 
Hongereni kwakweli kwa kuweza kuishi hivyo...
Ni kipaji na si kila mtu anakiweza
Na ukikaa sana ndan michongo na elimu za utaftaj huwez kuwa nazo..na ndo hapo watu wanapopigwa ma gap....toka nje jifunze...akili ina changamka unaona dah.kumbe niko nyuma ya muda eeh wenzangu wanasonga mbele.kaa na watu ongea nao.michongo huja kiutan utan ma huwez amin....mwaka jana nakumbuka tulikua mahala flan kwenye pombe hiz hiz..kuna jamaa katika stor na washkaj akawa anatafta catering kwenye event flan ya awards hiz za mwisho wa mwaka huwez amin...niliudaka ule mchongo as if nna catering ..nikamrushia dada angu m1 akanitoa 1m ya buuure kabisaaa..

Sio hilo ..yapo meng..sis wengne tumejifunza ujasiriamal hukuhuku kwenye michanganyiko....wee kaa ndan dada angu ..kama ni mke wa mtu endelea hvyo hvyo for safety..ila kama ni mdada ...kukaa ndan sio sifa
 
Mavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tu
Siongelei kukisia, maana hapa watu wanakataa kuwa haifiki 1 billion kwa kukisia in negative view. Nimeiweka kwenye kila kitu kachukua kipya , kama mengine amechajachukua sijui. Ila kwa makadirio ya pale bila kuwa na negative view, 1 billion inafika. Sidhani kama Bima alipeleka mahesabu ya vitu chakavu
 
Huwa nafurahi sana nikisoma comment kama hizi. Wewe una bilioni ngapi hadi uwe na nguvu ya kusema 1b ni ndogo ? Umewekeza bilioni ngapi?
Nazunguzia katika uwekezaji mkubwa, na watu tunao fanya nao biashara na walio tuzunguka na hata katika shughuli tunazofanya hiyo hela ni ndogo na inahitaji managemnt ya hali ya juu sana, sio kama ambavyo tunaitazamia wengi. Nimeishafanya mradi wenye hiyo thamani sehemu na namna ilivyokuwa inakatika hela nikasema asalaleeee .... ni nyingi na ni ndogo, ila inategemea umeiweka wapi mkuu. Point yangu ya kusema ndogo nimeangalia na aina ya uwekezaji wa jamaa pale, kama hakuwa na magumashi hiyo hela ni ndogo pale, na ndio maana kuna mtu humu inaonekana wanajuana anasema hata hali ya kipesa ya jamaa imeyumba toka amewekeza hapo
 
Na ukikaa sana ndan michongo na elimu za utaftaj huwez kuwa nazo..na ndo hapo watu wanapopigwa ma gap....toka nje jifunze...akili ina changamka unaona dah.kumbe niko nyuma ya muda eeh wenzangu wanasonga mbele.kaa na watu ongea nao.michongo huja kiutan utan ma huwez amin....mwaka jana nakumbuka tulikua mahala flan kwenye pombe hiz hiz..kuna jamaa katika stor na washkaj akawa anatafta catering kwenye event flan ya awards hiz za mwisho wa mwaka huwez amin...niliudaka ule mchongo as if nna catering ..nikamrushia dada angu m1 akanitoa 1m ya buuure kabisaaa..

Sio hilo ..yapo meng..sis wengne tumejifunza ujasiriamal hukuhuku kwenye michanganyiko....wee kaa ndan dada angu ..kama ni mke wa mtu endelea hvyo hvyo for safety..ila kama ni mdada ...kukaa ndan sio sifa
Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.
 
Nazunguzia katika uwekezaji mkubwa, na watu tunao fanya nao biashara na walio tuzunguka na hata katika shughuli tunazofanya hiyo hela ni ndogo na inahitaji managemnt ya hali ya juu sana, sio kama ambavyo tunaitazamia wengi. Nimeishafanya mradi wenye hiyo thamani sehemu na namna ilivyokuwa inakatika hela nikasema asalaleeee .... ni nyingi na ni ndogo, ila inategemea umeiweka wapi mkuu. Point yangu ya kusema ndogo nimeangalia na aina ya uwekezaji wa jamaa pale, kama hakuwa na magumashi hiyo hela ni ndogo pale, na ndio maana kuna mtu humu inaonekana wanajuana anasema hata hali ya kipesa ya jamaa imeyumba toka amewekeza hapo
Ha ha ha.
 
Ha ha ha kama umewekeza billions unaweza kusema 1b ndogo. Trust me Mo hawezi kusema 1b ni hela ndogo sana ila sisi tusionazo ndio mabingwa wa kusema hela fulani ndogo tu.
Nafikiri umeangalia in negative view. 1 biliion ni ndogo na ni nyingi, inategemea umeiweka wapi. Nimezungumzia udogo wake kwa aina ya uwekezaji wa pale na mtu kupinga kwa kuona hela nyingi. Sijasema ni ndogo in term of thamani yake. Ila kwakua umeamua kuelewa ulivyo elewa pia ni njema
 
Back
Top Bottom