Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Unaweza kujikuta unateketeza kimtaji kwa kwenda sehemu za gharama sana
Hio 50k naweza kuspend sehemu nyingine bila stress na nikaenjoy pamoja na kujichanganya na watu
Hiyo 50k ukienda nayo manzese uswazi huko we ni king lkn ukija nayo Hyatt hata mlinzi hawezi kukuruhusu kupita getini.....
manake atajua unaenda kuchafua mazingira
 
Nasikia hicho kiwanja ukienda na hell ilikuwa lazima utoke mkavu huna pesa
Sijui ni kwa nini kuna siku niliingia na hela ya kutosha ila ilivyoisha sikuelewa elewa ikabidi nitoke pale nje opposite kuna MPESA mpaka asubuhi nikaenda kutoa za kutosha tena nikazama ndani asubuhi nimetoka saa 2 mziki bado unapigwa ndani naangalia mfukoni naona zimepungua.....Pale hatari....
 
Hiv lachalz palivyo pachafu vile bado mnajadili tu ..mi nilidhan nilihitimisha tokea asubuh.kumbe bado watu mnachonga....hiv mkija goba au mkaenda mbezi beach .bahar beach zile bar za kule si mtasema ni bill20...

Dah sema nin vijana weng bado wanaijua pesa kwa kusikia...

Mi mwenyew ka pub kangu ngoja niseme ni ka mil60....akat hata mil8 hakajafika..na nimekatia mbao za pelet style ya skuhi kama lachalz na zingnezo..na kana flat mbili.mzik..counter nzur tu.sema hakana wateja nataka kahamisha location[emoji16]
Ipo wapi tuje tupige mitungi
 
Unajua mimi nashangaa wanakataa nini. Renovations zinakula hela balaa. Mbaya zaidi inatoka tu na haiingii. Tuyaache. Tusilazimishe mtu kuamini aisee
Billion moja haifikii. Mil 150-250 inaweza fika. Haya mambo mtuulize sisi tunaojua. Habari za kupandisha gharama watu hupenda kujisifu. But pale mil 500 haifik. Mimi ni mteja la chaaz
 
Billion moja haifikii. Mil 150-250 inaweza fika. Haya mambo mtuulize sisi tunaojua. Habari za kupandisha gharama watu hupenda kujisifu. But pale mil 500 haifik. Mimi ni mteja la chaaz
Hata mm nimebaki kuwashangaa, kwa kipya gani pale na thamani ya 1B, sehemu ya kwaida sana
 
Nyumbu wengi mno ile bar haina hata hadhi ya Nyota 4[emoji1787] Bongo ukituliza kichwa ukawa na hela yako aah unapasua anga
Eti hapa 1b imeteketea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]...mi niko na jamaa mmiliki hapa hana hata presha, anajua ukweli
IMG_20210307_154538_1.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah, ukute ni sababu ya ubahili wako, wateja wanakimbia sehemu hiyo, ukute haina hadhi ya kuwa pub lol
Ha ha ha usinichekeshe best[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Hiv lachalz palivyo pachafu vile bado mnajadili tu ..mi nilidhan nilihitimisha tokea asubuh.kumbe bado watu mnachonga....hiv mkija goba au mkaenda mbezi beach .bahar beach zile bar za kule si mtasema ni bill20...

Dah sema nin vijana weng bado wanaijua pesa kwa kusikia...

Mi mwenyew ka pub kangu ngoja niseme ni ka mil60....akat hata mil8 hakajafika..na nimekatia mbao za pelet style ya skuhi kama lachalz na zingnezo..na kana flat mbili.mzik..counter nzur tu.sema hakana wateja nataka kahamisha location[emoji16]

Haya nipe zile strategy leo
Alafu pale Juliana napo estimation yake ya investment ni kama sh ngapi [emoji848]
 
Back
Top Bottom