Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

Si dhani kama kuna mwanaume wa mkoani hana demu dar,mi mwenyewe wapo 10,nikikaa siku 10 kila mtu siku yake, au ndio tuseme wanaume wa dar wanatuangusha
Mnachukua malaya halafu mnajisifu, wanawake wa Dar huwajui vizuri ndio maana wanaoishi nao hawahangaiki nao. Hii haiwahusu wanawake wengine hapa nawazungumzia wadangaji.
 
Just for curiosity: Wamiliki watahamishwa kwenda " Msovera" au watalipwa kupisha wajomba toka Arabuni?

View attachment 3576255
Wanapo walipa ndiyo wanapo kosea serikali inatakiwa kutumia akili . Hizo fedha za kuwalipa ingewajengea mji mpya uliopangiliwa vizuri na kisasa sehemu nyingine . Unapo walipa hizo fedha zote zinakwenda kujenga slams nyingine kwenye maeneo yasiyo pangwa...ilitskiwa walipwe asilimia 30% na iliyo baki wajengewe makazi mapya yaliyo pangiliwa kisasa ...nakumbuka eneo la vingunguti watu walilipwa matokeo yake pesa yote wakajengea slam na mabondeni .. SERIKALI PUMBAVU YA CCM HAKUNA MWENYE AKILI .. CHINA WAKIFANYA HIVYO WATU WOTE WANAPATIWA MAKAZI MAPYA SEHEMU ZILIZO JENGWA KISASA NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII WANAJENGEWA ..TUANGALIE HATA KENYA ANACHO FANYA KIBERA SLUM...NIKOSA KUBWA SANA KUWAPA HAO WATU PESA ZA KUJIJENGEA WENYEWE NA KUJITAFUTIA VIWANJA WENYEWE.
 
Ki ukweli sinza Ni kwa hovyo sana
Kama Unapita Njian tuu tena wakati wa usiku ndo utadhani sinza kuzuri ila Nikuchafu sana, kunajaa maji hovyo kipindi cha mvua
Sinza 24Hr chemba zinatoa maji machafu, ukiona mfereji sinza unapitisha maji jua kuna mahali chemba ina mwaga maji.

Nyumba zake ni za zamani sana zimeliwa na fangasi balaaa ukutani, Nyumba za kizamani haswa madirisha yake madogo ya enzi za mkoloni sijui.
Ni wachache wameboresha ila kuko hovyo sana
Tanzania yote ni hivo hivo hata unaposema pazuri ni suala la mda tu
Na tatizo kubwa ni mipango miji mibovu inasababisha hali hiyo

Bora waboreshe Vingunguti na buguruni maana ile ni economic zone kubwa
 
Ki ukweli sinza Ni kwa hovyo sana
Kama Unapita Njian tuu tena wakati wa usiku ndo utadhani sinza kuzuri ila Nikuchafu sana, kunajaa maji hovyo kipindi cha mvua
Sinza 24Hr chemba zinatoa maji machafu, ukiona mfereji sinza unapitisha maji jua kuna mahali chemba ina mwaga maji.

Nyumba zake ni za zamani sana zimeliwa na fangasi balaaa ukutani, Nyumba za kizamani haswa madirisha yake madogo ya enzi za mkoloni sijui.
Ni wachache wameboresha ila kuko hovyo sana
Kuna maeneo mengi yako ovyo zaidi ya sinza,huko nako wangeenda tu kuwatoa watu
Kikubwa utekelezaji ufanyike

Ova
 
Sio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.

Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
Kama mwarabu anapewa sehemu ili kuifanya iwe bora zaidi acha tu apewe.
 
Sio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.

Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
Kule Ngorongoro amepewa nani? Punguza uchawa.
 
Sio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.

Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
Unamjuwa mwekezaji ni nani?

Hii vita inayoendelea inaweza ikatuletea ahueni ambayo hatukuitegemea kabisa hapa kwetu.

Ngoja tuone itakavyokuwa!
Lakini pamoja na yote hayo, mwovu na mhalifu Samia atawajibishwa bila ya kujali hayo mengine yote yanayosemwa hapa.
 
Na hilo ndio tutazizo. Tunajijengea tu bila kuwa na Master plan ya Jiji zima. Jambo lolote litakalofanyika Buguruni na Sinza litagusa Jiji zima pamoja na viunga vyake. Nachelea kusema kuwa lengo kubwa ni kufaidisha wachache na sio wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam.

Amandla...
 
Hao unaowatetea Samia=Kikwete ndio aliesababisha Dr Salim asiwe Rais
1995 Salim aliwekewa fitina mara ya kwanza na wazenji wenzake, Mwalimu Nyerere akamteua RIP Mwinyi kushika nafasi yake likiwa chaguo la pili.

Kikwete ilikuwa mara ya pili mwaka 2005 katika mbio za urais.

Malipo ni hapa hapa duniani, wale wazee waliomletea fitina Salim mwaka ule wa JK wakiwa bado hai wameshuhudia Samia mwenye damu ya kiarabu akiwa Rais baada ya kifo cha JPM.
 
Na hilo ndio tutazizo. Tunajijengea tu bila kuwa na Master plan ya Jiji zima. Jambo lolote litakalofanyika Buguruni na Sinza litagusa Jiji zima pamoja na viunga vyake. Nachelea kusema kuwa lengo kubwa ni kufaidisha wachache na sio wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam.

Amandla...
Sio kweli, punguza akili za chuki. Wanaokwenda kufaidika na mradi huo na hao hao wanaoishi kwenye nyumba zilizojengwa pasipo mpangilio wenye kueleweka.

Kizuri siku zote huwa na gharama mwanzoni lakini kinapokamilika wengi tunakuja kuielewa nia nzuri iliyokuwepo tangu awali.
 
Unamjuwa mwekezaji ni nani?

Hii vita inayoendelea inaweza ikatuletea ahueni ambayo hatukuitegemea kabisa hapa kwetu.

Ngoja tuone itakavyokuwa!
Lakini pamoja na yote hayo, mwovu na mhalifu Samia atawajibishwa bila ya kujali hayo mengine yote yanayosemwa hapa.
Hakuna mwovu anayepigania kiapo chake. SSH alitimiza kile kilichomfanya ashike msahafu na kuapa mbele ya umma.

Mkija kihuni lazima mshughulikiwe kihuni, mkija kiungwana mtashughulikiwa kiungwana pia.
 
Back
Top Bottom