Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

Sio kweli, punguza akili za chuki. Wanaokwenda kufaidika na mradi huo na hao hao wanaoishi kwenye nyumba zilizojengwa pasipo mpangilio wenye kueleweka.

Kizuri siku zote huwa na gharama mwanzoni lakini kinapokamilika wengi tunakuja kuielewa nia nzuri iliyokuwepo tangu awali.
Wajinga ndio waliwao siku zote. Asilimia kubwa ya wanaoishi Sinza ni wapangaji niambie watafaidika vipi? Watafaidika vipi idadi ya watu itakaoongezeka bila miundo mbinu kuboreshwa? Hamna mahali mradi kama huu umetekelezwa kwa mafanikio. Ni mradi mbovu sana na utatia kidonda katika jiji letu.

Amandla...
 
Hili swala lina ukakasi mwingi sana.
1 . Upande wa serikali wanaongea kama wawekezaji wanao na wanawajua na kiwanja watakachotaka kuwekeza. Kama ni hivyo basi hii itakuwa skendo ya mwaka.
2. Maeneo mengi ya sinza yana chemchem za maji na ni maeneo machache sana mazuri kwa ghorofa. Sasa hizo ghorofa 8 mpaka 16 zitakaa juu ya ardhi ipi?
3. Sinza haina mfumo wa maji taka na huu unaowekwa bomba zake ni ndogo haziendani hata na hali ya sasa. Upande wa maji safi, sinza haipati maji safi na salama zaidi ya mara 2 kwa wiki. Halafu upajaze maghorofa.
4. Maghorofa machache yali yopo sinza yamepangishwa ghorofa ya chini na na ya 1. Kwingine hakuna wapangaji. Hilo jengo la PSSSF mpaka leo mwaka wa ngapi halijapata wapangaji, halafu mtu anasema sinza yenye viwanja 4,000 itajengwa maghorofa! Hata nusu tu! Wawekezaji watapotezea mitaji yao Sinza.
5. Hakuna enviropental impact assesment kuona athari za kimazibgira wala financial investment analysis kuona kama mitaji wa wawekezaji itarudi baada ya muda gani?
6. Sinza A,B,C,D, E ni zaidi ya familia 3,000 na unataka kuvuruga mahali watu wanapopaita nyumbani bila Social impact assesment?
Hili linatisha sana !!
 
Wajinga ndio waliwao siku zote. Asilimia kubwa ya wanaoishi Sinza ni wapangaji niambie watafaidika vipi? Watafaidika vipi idadi ya watu kuongezeka bila miundo mbinu kuboreshwa? Hamna mahali mradi kama huu umetekelezwa kwa mafanikio. Ni mradi mbovu sana na utatia kidonda katika jiji letu.

Amandla...
Siku zote mnasema miradi ni mibovu inapokamilika mnafaidika nayo kimya kimya.

Mradi wa mwendokasi mlisema ni mbovu hauna faida leo hii tunafaidika na usafiri huo tukiwa kimya kuhusiana na maoni yetu hasi.

Hakuna mji unaodumu katika ubora ikiwa tangu mwanzoni unakosa mpangilio mzuri.
 
Siku zote mnasema miradi ni mibovu inapokamilika mnafaidika nayo kimya kimya.

Mradi wa mwendokasi mlisema ni mbovu hauna faida leo hii tunafaidika na usafiri huo tukiwa kimya kuhusiana na maoni yetu hasi.

Hakuna mji unaodumu katika ubora ikiwa tangu mwanzoni unakosa mpangilio mzuri.
Ingawa sijawahi kusema kuwa mwendokasi hauna faida, utekelezaji wake ni mbovu na umeleta madhara kwa jiji.

Inategemea una maanisha nini na mpangilio. Miji mingi inayopendwa Ulaya ya kusini haikupangwa bali ilikua kwa kuendana na hali ya eneo na mahitaji ya kiusalama ya wakati inakua. Watu kama nyinyi mnadhani maghorofa ndio maendeleo!

Mtu yeyote aliyeishi Upanga ya 1970s atakwambia kuwa ya sasa hivi ya maghorofa haiifikii kwa ubora wa mazingira na maisha ile ya zamani. Mimi ningewaelewa kama mngesema kuwa mnabomoa hayo maghorofa mapya ya Sinza ili ipumue na mpate sehemu za kijamii kama bustani n.k.

Amandla...
 
Zenji n Oman on duty kwa watanganyika wakimbizwe kwenda mwanalumango, mwasonga na kimanzichana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Sio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.

Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Ingawa sijawahi kusema kuwa mwendokasi hauna faida, utekelezaji wake ni mbovu na umeleta madhara kwa jiji.

Inategemea una maanisha nini na mpangilio. Mimi mingi inayopendwa Ulaya ya kusini haikupangwa bali ilikua kwa kuendana na hali ya eneo na mahitaji ya kiusalama ya wakati inakua. Watu kama nyinyi mnadhani maghorofa ndio maendeleo!

Mtu yeyote aliyeishi Upanga ya 1970s atakwambia kuwa ya sasa hivi ya maghorofa haiifikii kwa ubora wa mazingira na maisha ile ya zamani. Mimi ningewaelewa kama mngesema kuwa mnabomoa hayo maghorofa mapya ya Sinza ili ipumue na mpate sehemu za kijamii kama bustani n.k.

Amandla...
Naamini wanataka kuifanya Dar ijayo ifanane na mikoa ya Tanga na Dodoma, majiji hayo mawili yana nafasi katikati ya nyumba na nyumba, yanapumua.
 
Hakuna mwovu anayepigania kiapo chake. SSH alitimiza kile kilichomfanya ashike msahafu na kuapa mbele ya umma.

Mkija kihuni lazima mshughulikiwe kihuni, mkija kiungwana mtashughulikiwa kiungwana pia.
Bila ya hiyo mitutu hakuna lugha ya namna hii. Sasa jiandae tu hiyo mitutu ni mali ya waTanzania. Mtanyanganywa na msipokuwa waangalifu itawamaliza moja kwa moja.

Omba sana huyo 'mungu wako unayemtaja kila siku; maana kiyama kinakuja kwenu.
 
Sio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.

Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
Bandar kapewa nani
 
Mnachukua malaya halafu mnajisifu, wanawake wa Dar huwajui vizuri ndio maana wanaoishi nao hawahangaiki nao. Hii haiwahusu wanawake wengine hapa nawazungumzia wadangaji.
Ukiingia ule mtandao wa Exortic Tz ndio utabaki mdomo wazi utakapoona mademu wanaotoa huduma ya utelezi hawafanani kabisa na mionekano yao.
 
Kuna maeneo mengi ni squatter za ajabu
Kama kinondoni shamba,msasani bonde la mpunga,mwananyamala kisiwani,msisiri nk
Wangeanzia huko tu

Hii ya sinza ni white elephant project tu

Ova
 
muslims wa tanzagiza akili zao huwa sijui zikoje, nakumbuka awamu ya 4 ilikuwa hivyo hivyo na kigamboni kwamba USA anakuja kujenga mji wa kisasa kigamboni, mpaka bungeni ikajadiliwa maandalizi serikali nzima ya muslims wakaamini kabisa kwamba USA anakuja kujenga mji wa kisasa kigamboni, ukiwaliza iweje USA atumie mabilioni ya tax payers wao kujenga mji in a foreign country na kwa bajeti ipi? hiyo bajeti itaidhinishwa vp huko USA? tanzagiza siyo state USA wala siyo overseas territory iweje USA taxpayers zije kujenga mji tanzagiza? waliamini kwa maana hawajui hata jinsi nchi inavyoendeshwa, ndiyo maana kila awamu yao matatizo, vilio na incompetency kila mahali.

haya wakatoka hapo wakahaminia bagamoyo kwamba china inakuja kujenga bandari na mji wa mpya wa kisasa bagamoyo wakatoa mpaka picha ya mji wa kisasa kama shanghai ambao china atajenga b'moyo, ukiuliza rationale yake wanaishia kukujeli na ukiuliza ni wapi foreign country ilikwenda nchi nyingine kujenga mji kwa manufaa ya host country, no answer.

sasa hivi, muslims again wamehamia sinza na buguruni, hapo hapo msisahau dodoma ilipaswa wawe wameshamaliza au angalau 85% ilipaswa iwe tayari na kuhamia kabisa lkn mpaka leo hii raisi haishi ikulu ya dom na sehemu kubwa ya mawaziri wake wote hawaishi wala kufanya kazi huko, hapo hapo wanakwambia kwamba wataibomoa sinza yote na kujenga mji mpya, wakati gdp ya tanzagiza ni <90 billion usd kwenye nchi yanye watu zaidi ya milioni 55 kwa kawaida hiyo ni gdp ya nchi yenye watu kama laki tano mpaka milioni 1 tu lkn tanzagiza watu zaidi million 55 tuna uchumi wa chini ya 90 billion usd lkn ukiwasikia watawala wakichonga midomo na kuchezea pesa kwenye anasa utafikiri wana uchumi wa trillion usd, ipigwe marufuku kwa hawa watu kupata uraisi hata kama siyo moja kwa moja lkn indirectly wasiwe, low iq folks ...
Umeua
 
Back
Top Bottom