Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Kumbuka hata huyo Nyerere aliwachapa viboko kina RIP Samuel Sitta pale ikulu baada ya kuikosea heshima Tanzania.
Hao hao aliowachapa viboko baada ya kupokea maandamano yao aliwaunga mkono katika lile vuguvugu la kuja na hoja mpya zenye kuijenga nchi.
Unapoonywa na mamlaka maana yake unapendwa.