Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Wajinga ndio waliwao siku zote. Asilimia kubwa ya wanaoishi Sinza ni wapangaji niambie watafaidika vipi? Watafaidika vipi idadi ya watu itakaoongezeka bila miundo mbinu kuboreshwa? Hamna mahali mradi kama huu umetekelezwa kwa mafanikio. Ni mradi mbovu sana na utatia kidonda katika jiji letu.Sio kweli, punguza akili za chuki. Wanaokwenda kufaidika na mradi huo na hao hao wanaoishi kwenye nyumba zilizojengwa pasipo mpangilio wenye kueleweka.
Kizuri siku zote huwa na gharama mwanzoni lakini kinapokamilika wengi tunakuja kuielewa nia nzuri iliyokuwepo tangu awali.
Siku zote mnasema miradi ni mibovu inapokamilika mnafaidika nayo kimya kimya.Wajinga ndio waliwao siku zote. Asilimia kubwa ya wanaoishi Sinza ni wapangaji niambie watafaidika vipi? Watafaidika vipi idadi ya watu kuongezeka bila miundo mbinu kuboreshwa? Hamna mahali mradi kama huu umetekelezwa kwa mafanikio. Ni mradi mbovu sana na utatia kidonda katika jiji letu.
Amandla...
Ingawa sijawahi kusema kuwa mwendokasi hauna faida, utekelezaji wake ni mbovu na umeleta madhara kwa jiji.Siku zote mnasema miradi ni mibovu inapokamilika mnafaidika nayo kimya kimya.
Mradi wa mwendokasi mlisema ni mbovu hauna faida leo hii tunafaidika na usafiri huo tukiwa kimya kuhusiana na maoni yetu hasi.
Hakuna mji unaodumu katika ubora ikiwa tangu mwanzoni unakosa mpangilio mzuri.
Sio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.
Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
Naamini wanataka kuifanya Dar ijayo ifanane na mikoa ya Tanga na Dodoma, majiji hayo mawili yana nafasi katikati ya nyumba na nyumba, yanapumua.Ingawa sijawahi kusema kuwa mwendokasi hauna faida, utekelezaji wake ni mbovu na umeleta madhara kwa jiji.
Inategemea una maanisha nini na mpangilio. Mimi mingi inayopendwa Ulaya ya kusini haikupangwa bali ilikua kwa kuendana na hali ya eneo na mahitaji ya kiusalama ya wakati inakua. Watu kama nyinyi mnadhani maghorofa ndio maendeleo!
Mtu yeyote aliyeishi Upanga ya 1970s atakwambia kuwa ya sasa hivi ya maghorofa haiifikii kwa ubora wa mazingira na maisha ile ya zamani. Mimi ningewaelewa kama mngesema kuwa mnabomoa hayo maghorofa mapya ya Sinza ili ipumue na mpate sehemu za kijamii kama bustani n.k.
Amandla...
Kenge wa Lissu akiwa kazini.
Bila ya hiyo mitutu hakuna lugha ya namna hii. Sasa jiandae tu hiyo mitutu ni mali ya waTanzania. Mtanyanganywa na msipokuwa waangalifu itawamaliza moja kwa moja.Hakuna mwovu anayepigania kiapo chake. SSH alitimiza kile kilichomfanya ashike msahafu na kuapa mbele ya umma.
Mkija kihuni lazima mshughulikiwe kihuni, mkija kiungwana mtashughulikiwa kiungwana pia.
Hongera na Ambiance bad zipo?Kwa remi ntapakumbuka
Bandar kapewa naniSio Sinza pekee inayojengwa, eneo la Buguruni kuanzia pale zilipo godown za Bakhresa zamani NMC ukiwa unaelekea uwanja wa ndege upande wa kulia pia panatakiwa kujengwa kisasa kuliko hali ilivyo muda huu.
Hizo kauli kwamba Sinza wanataka kupewa waarabu ni upumbavu kama ulivyo upumbavu mwingine unaotembea midomoni mwa watanzania wanaofuga mawazo ya kibaguzi, hakuna mwarabu anayetaka kupewa Tanzania.
Sijajua mkuu maake Nina miaka kma saba mjini Ila nazojua kuna vibe lounge, small planet, gentleman boardroom na kitambaa....Hongera na Ambiance bad zipo?
Ukiingia ule mtandao wa Exortic Tz ndio utabaki mdomo wazi utakapoona mademu wanaotoa huduma ya utelezi hawafanani kabisa na mionekano yao.Mnachukua malaya halafu mnajisifu, wanawake wa Dar huwajui vizuri ndio maana wanaoishi nao hawahangaiki nao. Hii haiwahusu wanawake wengine hapa nawazungumzia wadangaji.
Sinza ina plan yake badala ya kuibomoa yote wangeanza na wale waliovunja sheria.Kuna maeneo mengi ni squatter za ajabu
Kama kinondoni shamba,msasani bonde la mpunga,mwananyamala kisiwani,msisiri nk
Wangeanzia huko tu
Hii ya sinza ni white elephant project tu
Ova
NashangaSinza ina plan yake badala ya kuibomoa yote waneanza na wale waliovunja sheria.
Sinza nlikaaga miaka ya 80 huko sinza ilikuwa nyeupeSinza ina plan yake badala ya kuibomoa yote waneanza na wale waliovunja sheria.
Umeuamuslims wa tanzagiza akili zao huwa sijui zikoje, nakumbuka awamu ya 4 ilikuwa hivyo hivyo na kigamboni kwamba USA anakuja kujenga mji wa kisasa kigamboni, mpaka bungeni ikajadiliwa maandalizi serikali nzima ya muslims wakaamini kabisa kwamba USA anakuja kujenga mji wa kisasa kigamboni, ukiwaliza iweje USA atumie mabilioni ya tax payers wao kujenga mji in a foreign country na kwa bajeti ipi? hiyo bajeti itaidhinishwa vp huko USA? tanzagiza siyo state USA wala siyo overseas territory iweje USA taxpayers zije kujenga mji tanzagiza? waliamini kwa maana hawajui hata jinsi nchi inavyoendeshwa, ndiyo maana kila awamu yao matatizo, vilio na incompetency kila mahali.
haya wakatoka hapo wakahaminia bagamoyo kwamba china inakuja kujenga bandari na mji wa mpya wa kisasa bagamoyo wakatoa mpaka picha ya mji wa kisasa kama shanghai ambao china atajenga b'moyo, ukiuliza rationale yake wanaishia kukujeli na ukiuliza ni wapi foreign country ilikwenda nchi nyingine kujenga mji kwa manufaa ya host country, no answer.
sasa hivi, muslims again wamehamia sinza na buguruni, hapo hapo msisahau dodoma ilipaswa wawe wameshamaliza au angalau 85% ilipaswa iwe tayari na kuhamia kabisa lkn mpaka leo hii raisi haishi ikulu ya dom na sehemu kubwa ya mawaziri wake wote hawaishi wala kufanya kazi huko, hapo hapo wanakwambia kwamba wataibomoa sinza yote na kujenga mji mpya, wakati gdp ya tanzagiza ni <90 billion usd kwenye nchi yanye watu zaidi ya milioni 55 kwa kawaida hiyo ni gdp ya nchi yenye watu kama laki tano mpaka milioni 1 tu lkn tanzagiza watu zaidi million 55 tuna uchumi wa chini ya 90 billion usd lkn ukiwasikia watawala wakichonga midomo na kuchezea pesa kwenye anasa utafikiri wana uchumi wa trillion usd, ipigwe marufuku kwa hawa watu kupata uraisi hata kama siyo moja kwa moja lkn indirectly wasiwe, low iq folks ...
Kenge wa Lissu akiwa kazini.