Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

Bila ya hiyo mitutu hakuna lugha ya namna hii. Sasa jiandae tu hiyo mitutu ni mali ya waTanzania. Mtanyanganywa na msipokuwa waangalifu itawamaliza moja kwa moja.

Omba sana huyo 'mungu wako unayemtaja kila siku; maana kiyama kinakuja kwenu.
Utazeeka na kuondoka duniani ukiwa na akili hizi hizi za watoto wadogo, anachapwa makofi anaenda nyumbani akilia huku akiinua sura akifuta machozi na kusema 'utaona wewe utaona wewe'.
 
 
Utazeeka na kuondoka duniani ukiwa na akili hizi hizi za watoto wadogo, anachapwa makofi anaenda nyumbani akilia huku akiinua sura akifuta machozi na kusema 'utaona wewe utaona wewe'.
Mwisho wa siku, mtoto huyo huyo anafaidi msosi wa nguruwe aliyenona kwa kula masalia anayotupiwa na mhalifu Samia Suluhu hassan..
Sasa niambie uduni wako unayo nafuu gani hapa!
 
Watanzania tusiwe wabinafsi ,Tanzania miji yote mibovu imekaa kama majalala ,ni lazima mji ubomolewe ujengwe upya ,wewe ukipata muda ebu angalia majiji ya weznetu yalivyo mazuri.

TUmechelewa sana ,sinza inabidi ivunjwe yote ,kino ,mwananyamala,tandale ,migo ,manzese ,ubungo hapo pote wapige maskyscrappers ,ma MALLs , Ma apartment ,MaCONDO ,Ma Amusement parks etc
 
Mkuu haha Uongo Sinza hakuna chemba za maji taka, Sinza wanatumia mifumo ya kuchimba Massimo ya Maji taka. Kijitonyama ndiyo kuna mifumo ya Maji taka na Mwenge Kijijini. Hayo maji unayo yaona ni maji ya Mitaro iliyoanzia mbali na kupitia Sinza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…