Sinza maji hayatoki zaidi ya wiki

Sinza maji hayatoki zaidi ya wiki

Kama unasafiri, jaribu kucheki mto Ruvu pale .Serikali ni muda muafaka sasa kujenga bwawa la Kidunda au kutumia visima virefu vile vya Kimbiji
 
Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..

Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Wewe wa Sinza unashangaa Maji hayatoki wiki. Mimi wa Kimara hatujui kama hata kuna maji ya Bomba. Anyway pole sana ndugu yangu wa Sinza
 
Wewe wa Sinza unashangaa Maji hayatoki wiki. Mimi wa Kimara hatujui kama hata kuna maji ya Bomba. Anyway pole sana ndugu yangu wa Sinza
Kimara yameacha lini kutoka?
 
Dah 'thed weld' Dwellers mnapitia hali ngumu sana ya maisha. Mchana nzi usiku mbu. Unaamkia viporo vya kande iliyochacha. Umeme shida maji shida. Hata binadamu wa awali kina zinja wamewazidi kuishi maisha bora. Ushauri tu Nawapa just COMMIT SUICIDE
 
It's very very sad! Maji mjini ni shida, je vijijini?!
Yani Myebusi wee acha tu Mungu ni pendo isingekuwa yeye tungeangamia wote. Kama kipindupindu tu kimeshindwa kumuondoa kabisa mmatumbi kwenye uso wa dunia nini kitaweza? Kupitia hili kweli Sir godi Yupo!
 
Idara ya maji embu rekebisheni jmn wiki mbili maboresho kweli huko kwa viongozi wakubwa mnafanyaga hivi.Wajibikeni na muwe na huruma atleast
 
Ifike mahali hii idara iwe serious na kazi maji huweza kukatika siku mbili tatu its okay wiki mbili????Na mnaona kawaida ukiachilia mbali watu wakawaida wengine wanaendesha biashara zao za chakula,restaurant na kadhalika hamuoni mnawapa watu shida.Badilikeni jmn
 
Mkuu kuwa makini maana sehemu nilipo tulikaa siku tatu bila maji kwenda ooh mara tuamie bomba kubwa jipya lile la zamani halitatumika tena, ndo wanachofanya huku sasa isije kuwa na huko yameanza hayo,
 
Back
Top Bottom