ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Kama unasafiri, jaribu kucheki mto Ruvu pale .Serikali ni muda muafaka sasa kujenga bwawa la Kidunda au kutumia visima virefu vile vya Kimbiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wa Sinza unashangaa Maji hayatoki wiki. Mimi wa Kimara hatujui kama hata kuna maji ya Bomba. Anyway pole sana ndugu yangu wa SinzaSitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Umefurahiiiii. Na mbadoooWanaupiga mwingi 😂😂😂😂😂
Kimara yameacha lini kutoka?Wewe wa Sinza unashangaa Maji hayatoki wiki. Mimi wa Kimara hatujui kama hata kuna maji ya Bomba. Anyway pole sana ndugu yangu wa Sinza
Mkalidayo hebu pita mbali....yaani Africa Karne ya 21 bado tunahangaika na maji,umeme,msosi!Umefurahiiiii. Na mbadooo
Dah mgerasi cheka a balaa. Tena sinza kwa wajanja wanajisaidia bila maji. This is too sad.Mkalidayo hebu pita mbali....yaani Africa Karne ya 21 bado tunahangaika na maji,umeme,msosi!
Unaishi kimara ipi mwenzetu?.Wewe wa Sinza unashangaa Maji hayatoki wiki. Mimi wa Kimara hatujui kama hata kuna maji ya Bomba. Anyway pole sana ndugu yangu wa Sinza
It's very very sad! Maji mjini ni shida, je vijijini?!Dah mgerasi cheka a balaa. Tena sinza kwa wajanja wanajisaidia bila maji. This is too sad.
Yani Myebusi wee acha tu Mungu ni pendo isingekuwa yeye tungeangamia wote. Kama kipindupindu tu kimeshindwa kumuondoa kabisa mmatumbi kwenye uso wa dunia nini kitaweza? Kupitia hili kweli Sir godi Yupo!It's very very sad! Maji mjini ni shida, je vijijini?!
Tunaumia na hatuna cha kufanyaIdara ya maji embu rekebisheni jmn wiki mbili maboresho kweli huko kwa viongozi wakubwa mnafanyaga hivi.Wajibikeni na muwe na huruma atleast
Yaani na sidhani kama wanajali I hope wanapitaga huku kusoma malalamikoTunaumia na hatuna cha kufanya
Waulize ccm kwanini hampati maji kwa muda wote huoSitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana