Sio kila harakati na siasa za magharibi ni za kuiga

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.

Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.

sio kila unachokiona huko mitandaoni ni applicable hapa Tanzania.

Tanzania imeitwa Tanzania kwa kuwa ina taratibu zake na utamaduni wake wa kipekee.
kamwe sitarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.

Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano kitatokana na hulka na tamaduni zetu.

Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
kamwe sutarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.

Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano litatokana na hulka na tamaduni zetu.

Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Upo sahihi 360%
 
Kama hutaki utamadanuni na mambo ya wazungu hicho kifaa ulichotumia kuandika hapa si matokeo ya wazungu mjinga wao?

Basi ungeandika hapa kwa kutumia usinga wa ng'ombe na vibuyu.

Yaani nyie mkibanwa na watu kueneza elimu ya uraia ili watambue haki zao ndio mnarudi kwenye kivuli cha "sio utamaduni wetu" kwahiyo policcm kuteka na kuua watu ndio utamaduni wenu?
 
Kuna genge humu.

Hilo genge ni lile linalojitokeza kila nchi za magharibi zinapotajwa hapa JF.

Haijalishi ni mada ya Siasa, Jamii ama Uchumi, ukitaja na hata kuleta taarifa, nakala, makala, habari zenye ushahidi, wao hutokea kuanza kukurushia matusi, fedheha kejeli na hususani -Psychological warfare-

Lengo lao? Whitewashing

:Whitewashing is the act of minimizing or covering up vices, crimes or scandals, or of exonerating the guilty by means of a perfunctory investigation or biased presentation of data with the intention to improve someone's reputation-herein "Magharibi"

Hawa wanatumika na ni hatari kwa usalama wa midahalo na mijadala popote pale Duniani.

Wasomeni hapo juu, halafu wasomeni kwenye mada zingine kama hii, utagundua matusi ni yale yale, mtiririko ni ule ule.

Watanzania muwe makini na muwakatae.
 
Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.

Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.

sio kila unachokiona huko mitandaoni ni applicable hapa Tanzania.

Tanzania imeitwa Tanzania kwa kuwa ina taratibu zake na utamaduni wake wa kipekee.
kamwe sitarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.

Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano kitatokana na hulka na tamaduni zetu.

Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Msilazimishe wote tutawaliwe kwa mitazamo ya kizee ya ccm. Hili ndio tatizo la kushurutisha kuongoza kizazi kilichowachoka. Heshimuni uchaguzi waingie wengine wenye mitazamo mipya.
 
l

CCM ina sifa moja kuu barani Africa ...kubadilika kuendana na muda
 
Kawaambieni wajinga hii nadharia. Na mwisho wenu umefika sasa, maana kizazi hiki hakielewo porojo zenu tena.
 
Kila muhula mtasema kizazi hiki hakielewi.
CCM ina vizazi hadi chipukizi huwa haibahatishi..kawajuze na wenzio
 
Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.

Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.

sio kila unachokiona huko mitandaoni ni applicable hapa Tanzania.

Tanzania imeitwa Tanzania kwa kuwa ina taratibu zake na utamaduni wake wa kipekee.
kamwe sitarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.

Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano kitatokana na hulka na tamaduni zetu.

Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwahiyo waige za mashariki..!?..Mifumo yote ya nchi inayotumika sasa imekaa kimagharibi...ukorofi, uhuni na kutojali ni tabia..in fact CCM wapo vzuri kwenye hizo tabia..
 
Back
Top Bottom