Sio kila harakati na siasa za magharibi ni za kuiga

Sio kila harakati na siasa za magharibi ni za kuiga

Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.

Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.

sio kila unachokiona huko mitandaoni ni applicable hapa Tanzania.

Tanzania imeitwa Tanzania kwa kuwa ina taratibu zake na utamaduni wake wa kipekee.
kamwe sitarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.

Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano kitatokana na hulka na tamaduni zetu.

Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Sawa Mnufaika tumekuelewa kwa maoni yako
 
Back
Top Bottom