Upo sahihi 360%Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.
Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.
sio kila unachokiona huko mitandaoni ni applicable hapa Tanzania.
Tanzania imeitwa Tanzania kwa kuwa ina taratibu zake na utamaduni wake wa kipekee.
kamwe sutarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.
Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano litatokana na hulka na tamaduni zetu.
Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Onyesha huo ujinga ulipoandikwa na sio kujifanya mjuaji.Huu ujasiri wa kujitia ujingani naona unapamba moto siku hizi!
Trump keshavaa Joho la Papa 😁
Trump akikaa kitini kwa Papa kisha akauziwa Gaza na mwisho akachinja nguruwe pale msikiti wa Aqsa ndipo maandiko yatatimiaTuuuuuige. Si ndio Demokrasia hiyo-uhuru
Huu ujasiri wa kujitia ujingani naona unapamba moto siku hizi!Onyesha huo ujinga ulipoandikwa na sio kujifanya mjuaji.
Huo werevu wako ndio huu?
Onyesha huo ujinga, na uonyeshe uerevu wako
Msilazimishe wote tutawaliwe kwa mitazamo ya kizee ya ccm. Hili ndio tatizo la kushurutisha kuongoza kizazi kilichowachoka. Heshimuni uchaguzi waingie wengine wenye mitazamo mipya.Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.
Nipende kuwaasa kuwa kila nchi na kila jamii ina mienendo na taratibu zake.
sio kila unachokiona huko mitandaoni ni applicable hapa Tanzania.
Tanzania imeitwa Tanzania kwa kuwa ina taratibu zake na utamaduni wake wa kipekee.
kamwe sitarajii tutaiga kila kitu kutoka nchi za nje.
Mienendo na practise za huko ughaibuni ni kwa ajili ya kuboresha ubunifu wetu tu.
Nini kitakachofanyika au kuchukuliwa kama mfano kitatokana na hulka na tamaduni zetu.
Tusiige ukorofi,uhuni,kutokujali na dhambi za nchi za nje.
Always tuige yale yalio mema.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
CCM ina sifa moja kuu barani Africa ...kubadilika kuendana na mudaMsilazimishe wote tutawaliwe kwa mitazamo ya kizee ya ccm. Hili ndio tatizo la kushurutisha kuongoza kizazi kilichowachoka. Heshimuni uchaguzi waingie wengine wenye mitazamo mipya.
Kawaambieni wajinga hii nadharia. Na mwisho wenu umefika sasa, maana kizazi hiki hakielewo porojo zenu tena.l
CCM ina sifa moja kuu barani Africa ...kubadilika kuendana na muda
Kwahiyo waige za mashariki..!?..Mifumo yote ya nchi inayotumika sasa imekaa kimagharibi...ukorofi, uhuni na kutojali ni tabia..in fact CCM wapo vzuri kwenye hizo tabia..Wapo baadhi ya vijana,wazee wa makamu,watu binafsi na taasisi nchini Tanzania zinaiga kila kitu wanachokiona Kwenye Tv ,mainstream media za magharibi na kwenye mitandao.