Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

Acheni kila mtu afanye anachopenda.

Kwenye maisha hatuwezi kuwa na vipaumbele sawa.

Acheni watu wajenge ili nyinyi msiopenda kujenga mkapange kwa waliojenga.

Mkikataa watu wasijenge mtaishi wapi?
 
Maliza chuo kwanza

Upo unakula boom unaona mambo rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…