MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Huwa nawashangaa sana vijana wanaokopa ili kujenga nyumba kisa 'Wasidaiwe kodi', mwingine unakuta kaotea deal anakimbilia kujenga nyumba ya kuishi, anakwambia nataka niwe na kwangu. Inasikitisha.