Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Baba shikamoo 🫲kwa nini binti yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba shikamoo 🫲kwa nini binti yangu
marahaba vipi haliBaba shikamoo 🫲
Siku mtakayotujua wanawake vzr mtajicheka na kujiona wajinga sana 🤣🤣🤣
Nzuri, sijui wewe na mama wazima.??marahaba vipi hali
unaendeleaje
Heeee yamekuwa hayo!
Nyie mtujue sisi tuliowaacha bustanini mmezubaa, sisi tuko chobingo tunateta na (nyoka) sheta.!!! 🤣🤣🤣🤣🤣Wanaume wanawajua wanawake sema tunawazuga hatuwajui ili tuwape Zigo la misumari.
Kumbe bado hujaijua hii mbinu
jambo la kushukuru tunaendelea vizuri japo nilipata ka homa kidogo lakini niko sawa sasaNzuri, sijui wewe na mama wazima.??
Oooh!! Pole sana baba, Mungu azidi kukutia nguvu afya iimarike mzee wangu..!!jambo la kushukuru tunaendelea vizuri japo nilipata ka homa kidogo lakini niko sawa sasa
Nyie mtujue sisi tuliowaacha bustanini mmezubaa, sisi tuko chobingo tunateta na (nyoka) sheta.!!! 🤣🤣🤣🤣🤣
Siku mkianza kutujua mjue mko dakika za mwisho kuuona uso wa dunia
Ww au mkeo, mmojawapo ni mgonjwaNilishaijaribu hiyo siku moja, af wakati huo nimepiga bapa(nyagi) jumlisha stress za maisha.
Alooo!! Ilibaki kidogo wife nimng'oe kizazi, maana asubui alivoenda kukojoa alikojoa na vinyamanyama
nashukuru..Oooh!! Pole sana baba, Mungu azidi kukutia nguvu afya iimarike mzee wangu..!!
Tunakutegemea wanao kwa ushauri na muongozo wa kimaisha 🙏
Kvp?Ww au mkeo, mmojawapo ni mgonjwa
Vumbi la Congo sio sababu ya mkeo kutokwa na vinyamanyama ht kama ulisimamia show kiasi gnKvp?
Wala HATUTAKI kuwajuaSiku mtakayotujua wanawake vzr mtajicheka na kujiona wajinga sana 🤣🤣🤣
Unaonekana we mzoefu wa hizi kazi mkuuVumbi la Congo sio sababu ya mkeo kutokwa na vinyamanyama ht kama ulisimamia show kiasi gn
Kule kwetu Ethiopia wanawake ndo wana uelewa mpana wa haya mambo ya dust ya kivu japo Kwa kule sio vumbi inakua ni mizizi ko mwanamke wako akishaona performance yako ipo below fifte anakuwekea mizizi kwenye msos we unashangaaa performance ipo 100%