maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Ndo maana dawa yenu ni kuwapakia tu mkongo iwe home au away maana hakuna namna 😂Sawa kungwi ila nataka nikukumbushe hata Samson alijua nguvu zake zinafanya kazi kwa Delila ila si uliona kilichomkuta.?? 😂
Adam je?? Mliambiwa muishi na sisi kwa akili sababu Mungu alijua nyie kwetu hamtoboi sisi tuko mbele ya muda.!!
Tunaweza kukupa toto sio lako na ukalea bila tatizo 🤣🤣🤣