Sawa kungwi ila nataka nikukumbushe hata Samson alijua nguvu zake zinafanya kazi kwa Delila ila si uliona kilichomkuta.?? π
Adam je?? Mliambiwa muishi na sisi kwa akili sababu Mungu alijua nyie kwetu hamtoboi sisi tuko mbele ya muda.!!
Tunaweza kukupa toto sio lako na ukalea bila tatizo π€£π€£π€£