Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kubali ndoa kwa usahihi!Noma sana
Wanaume sasa hivi tunajitia kuwajua wanawake kuzidi wanavyojijua.
Anyway, ushauri umekaa poa sana.
#Kataa Ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali ndoa kwa usahihi!Noma sana
Wanaume sasa hivi tunajitia kuwajua wanawake kuzidi wanavyojijua.
Anyway, ushauri umekaa poa sana.
#Kataa Ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jumatatu asubuhi mwanadamu wa kiume anajadili wanawake[emoji848]
Ama kweli wanawake ni jeshi kubwa
Siyo kila mtu anaweza kubadilisha boga kuwa nanasiUkiitilia mkazo mitandao utapandwa kichaa uokote makopo.
Hakuna mtandao wanaume wanajua kuponda na kujadili wanawake kama jamiiforum
Lakini ukitaka uhalisia wa Maisha ingia mtaani utauona.
Kila kukicha single mothers wanaolewa.lakini ukiingia humu wanasemwa utadhani single mothers wote ni matatizo tupu
Mtu Hana kazi ndo umkatae?
Mpe connection za nafasi za kazi akaombe kesho akipata Maisha yanasonga.nyie mtajiskiaje mwanamke akikukataa kisa huna kazi?
Mtu hata ukutane nae baa ni baamedi bado ni mke mwema.huwezo jua Nini kimemkita Maishani mpaka kajikuta hapo,na wengine ukiwapa nafasi ya kubadilika wanabadilika.
MWENZA MZURI UMTAKAE MBADILISHE MTENGENEZE VILE UTAKAVUO,NAE KAMA NI MUELEWA ATABADILIKA.WATU HAWAFANANI
Sijasema hawafai, nimesema Kuna uwezekano ukakutana na sintofahamu na disappointments kwenye mahusianoTusilishane matango pori hapa, hii fomula umeitoa wapi kwamba hawa hawafai?
Ww unasema hivyo kwa sababu ni mwanamke hivyo ni lazima ulalie upande wa jinsia yako siwezi kukulaumu.Ukiitilia mkazo mitandao utapandwa kichaa uokote makopo.
Hakuna mtandao wanaume wanajua kuponda na kujadili wanawake kama jamiiforum
Lakini ukitaka uhalisia wa Maisha ingia mtaani utauona.
Kila kukicha single mothers wanaolewa.lakini ukiingia humu wanasemwa utadhani single mothers wote ni matatizo tupu
Mtu Hana kazi ndo umkatae?
Mpe connection za nafasi za kazi akaombe kesho akipata Maisha yanasonga.nyie mtajiskiaje mwanamke akikukataa kisa huna kazi?
Mtu hata ukutane nae baa ni baamedi bado ni mke mwema.huwezo jua Nini kimemkita Maishani mpaka kajikuta hapo,na wengine ukiwapa nafasi ya kubadilika wanabadilika.
MWENZA MZURI UMTAKAE MBADILISHE MTENGENEZE VILE UTAKAVUO,NAE KAMA NI MUELEWA ATABADILIKA.WATU HAWAFANANI
Tutafute pesa jamani kwani Pedi bei gani mpaka imuumize kichwa mwanaume?Mpaka apate hiyo kazi inaweza kuchukua miaka, huo muda wote ujue kwenye mahusiano ni sawasawa na unalea mtoto mchanga; utagharamia Pedi (Pampers?) na mambo mengine yote ...... Kwa usawa wa Sasa haya maisha hayapo realistic
Mbona hata mikoani watu wanaoa fresh tu tena mikoani ndo wengi zaidiWw unasema hivyo kwa sababu ni mwanamke hivyo ni lazima ulalie upande wa jinsia yako siwezi kukulaumu.
Lakini kiuhalisia na kiukweli sio sifa nzuri kwa mwanamke kuzalia nyumbani hichi kitu huwa kinawafedhehesha sana wazazi na ndugu sema huwa hawana jinsi.
Mm nina baadhi ya ndugu ambao ni singo mother lakini hilo haliwezi kunifanya niwatetee,hii kampeni ni kuwaponda masingo mother ina manufaa kwa jamii iwapo itachukuliwa kwa mtazamo chanya.
Kuhusu singo mother kuolewa labda kwa mikoa ya pwani ambapo usingo mother huwa sio ishu sana kihivyo ambapo unakuta mwanamke ameshaolewa hata mara5,lakini kwa mikoa ya bara tuache kudanganyana huo uhalisia wa singo mother kuolewa sana hata sisi hatuuoni huku mitaani labda ww kama unaishi dunia yako.
Mm kwenye ukoo wetu kuna masingo mother zaidi ya kumi lakini walio olewa ni wawili tu na wenyewe wameolewa na watu wazima hali yakuwa wao bado ni mabinti wadogo.
Mm nadhani badala ya kuchukulia hii kampeni ya kataa singo mother kwa mtazamo hasi tunatakuwa kuichukulia kama furusa ya kuwaonya mabinti zetu juu ya kujihadhari na huo usingo mather maana sio sifa nzuri kabisa.
Na kama binti umesha amuwa kufanya umalaya basi fanya umalaya wa faida uwachune wanaume ujiinue kiuchumi,ili hata hata ukija kuzaa uwe na uwezo wa kulea hao watoto unao wazaa bila ya uwepo wa baba.
Sio unafanya umalaya wa kunyeshwa bia na mishikaki alafu unakuja kuwabebesha mizigo wazazi wako kukulelea watoto.
Basi kwenye ukoo wenu Kuna Malaya sio single maza Mimi nishawahi ona single maza ameolewa ndoa ya kwanza bahati mbaya mmewe akafariki na kumuacha na mimba akaolewa tena na kichanga chake na dogo mwingine na akazaa mtoto wa tatu tena wote waliomuoa ni vijana na hawajawihi kuzaaWw unasema hivyo kwa sababu ni mwanamke hivyo ni lazima ulalie upande wa jinsia yako siwezi kukulaumu.
Lakini kiuhalisia na kiukweli sio sifa nzuri kwa mwanamke kuzalia nyumbani hichi kitu huwa kinawafedhehesha sana wazazi na ndugu sema huwa hawana jinsi.
Mm nina baadhi ya ndugu ambao ni singo mother lakini hilo haliwezi kunifanya niwatetee,hii kampeni ni kuwaponda masingo mother ina manufaa kwa jamii iwapo itachukuliwa kwa mtazamo chanya.
Kuhusu singo mother kuolewa labda kwa mikoa ya pwani ambapo usingo mother huwa sio ishu sana kihivyo ambapo unakuta mwanamke ameshaolewa hata mara5,lakini kwa mikoa ya bara tuache kudanganyana huo uhalisia wa singo mother kuolewa sana hata sisi hatuuoni huku mitaani labda ww kama unaishi dunia yako.
Mm kwenye ukoo wetu kuna masingo mother zaidi ya kumi lakini walio olewa ni wawili tu na wenyewe wameolewa na watu wazima hali yakuwa wao bado ni mabinti wadogo.
Mm nadhani badala ya kuchukulia hii kampeni ya kataa singo mother kwa mtazamo hasi tunatakuwa kuichukulia kama furusa ya kuwaonya mabinti zetu juu ya kujihadhari na huo usingo mather maana sio sifa nzuri kabisa.
Na kama binti umesha amuwa kufanya umalaya basi fanya umalaya wa faida uwachune wanaume ujiinue kiuchumi,ili hata hata ukija kuzaa uwe na uwezo wa kulea hao watoto unao wazaa bila ya uwepo wa baba.
Sio unafanya umalaya wa kunyeshwa bia na mishikaki alafu unakuja kuwabebesha mizigo wazazi wako kukulelea watoto.
Hilo ndilo jambo la maana. Naamini mtoto ni wa mwanaume. Binti kabla ya kubeba mimba lazima ahakikishe kuwa anayempatia mimba au wazazi wake au babu zake wana uwezo wa kulea hicho kiumbe na kama ikitokea kwa bahati mbaya waitoe. ili maisha yaendeleeWw unasema hivyo kwa sababu ni mwanamke hivyo ni lazima ulalie upande wa jinsia yako siwezi kukulaumu.
Lakini kiuhalisia na kiukweli sio sifa nzuri kwa mwanamke kuzalia nyumbani hichi kitu huwa kinawafedhehesha sana wazazi na ndugu sema huwa hawana jinsi.
Mm nina baadhi ya ndugu ambao ni singo mother lakini hilo haliwezi kunifanya niwatetee,hii kampeni ni kuwaponda masingo mother ina manufaa kwa jamii iwapo itachukuliwa kwa mtazamo chanya.
Kuhusu singo mother kuolewa labda kwa mikoa ya pwani ambapo usingo mother huwa sio ishu sana kihivyo ambapo unakuta mwanamke ameshaolewa hata mara5,lakini kwa mikoa ya bara tuache kudanganyana huo uhalisia wa singo mother kuolewa sana hata sisi hatuuoni huku mitaani labda ww kama unaishi dunia yako.
Mm kwenye ukoo wetu kuna masingo mother zaidi ya kumi lakini walio olewa ni wawili tu na wenyewe wameolewa na watu wazima hali yakuwa wao bado ni mabinti wadogo.
Mm nadhani badala ya kuchukulia hii kampeni ya kataa singo mother kwa mtazamo hasi tunatakuwa kuichukulia kama furusa ya kuwaonya mabinti zetu juu ya kujihadhari na huo usingo mather maana sio sifa nzuri kabisa.
Na kama binti umesha amuwa kufanya umalaya basi fanya umalaya wa faida uwachune wanaume ujiinue kiuchumi,ili hata hata ukija kuzaa uwe na uwezo wa kulea hao watoto unao wazaa bila ya uwepo wa baba.
Sio unafanya umalaya wa kunyeshwa bia na mishikaki alafu unakuja kuwabebesha mizigo wazazi wako kukulelea watoto.
Pedi ni kitu kidogo sana ambacho hata ilibidi nisishirikishweTutafute pesa jamani kwani Pedi bei gani mpaka imuumize kichwa mwanaume?
Mkuu kwani malaya huwa anapimwa kwa kitu gani?Basi kwenye ukoo wenu Kuna Malaya sio single maza Mimi nishawahi ona single maza ameolewa ndoa ya kwanza bahati mbaya mmewe akafariki na kumuacha na mimba akaolewa tena na kichanga chake na dogo mwingine na akazaa mtoto wa tatu tena wote waliomuoa ni vijana na hawajawihi kuzaa
Sina mke mkuu na sitarajii kuoa hivi karibuni ila huwa nashangaa watu wanavyogeneralize maisha tofauti na uhalisia ulivyo hebu tusimulie ilikuaje mkazalisha masingle maza zaidi ya 10?Mkuu kwani malaya huwa anapimwa kwa kitu gani?
Umalaya ni kufanya uzinzi na mtu asiye kuwa na mme au mke wako ,ukioa singo mother ambaye hana historia ya kuolewa huko nyuma basi umeoa malaya ,ukioa mwanamke asiye na bikra hali ya kuwa hajawahi kuolewa jua umeoa malaya sema omba baada ya kumuoa haamue kuacha huo umalaya wake ili afae kuwa mke.
Ndoa za siku hizi zimejaa misuko suko kwa sababu tunaoana wote tukiwa malaya na mbaya zaidi hatutaki kuacha umalaya hata baada ya kuoana.
Mkuu najua umeoa singo mother na wala sijasema ni wabaya wala hawafai kuolewa bali nimesema sio sifa nzuri binti kuwa singo mother,wazazi wanateseka na mizigo ya watoto kwa sababu ya uzinzi wa watoto wao.
Nasema hivi anaeoa single maza huyo ni simp kama simp wengine. Yaani wee wanawake wamejaaa humu duniani ukao single maza kweli una akili au matope?Ukiitilia mkazo mitandao utapandwa kichaa uokote makopo.
Hakuna mtandao wanaume wanajua kuponda na kujadili wanawake kama jamiiforum
Lakini ukitaka uhalisia wa Maisha ingia mtaani utauona.
Kila kukicha single mothers wanaolewa.lakini ukiingia humu wanasemwa utadhani single mothers wote ni matatizo tupu
Mtu Hana kazi ndo umkatae?
Mpe connection za nafasi za kazi akaombe kesho akipata Maisha yanasonga.nyie mtajiskiaje mwanamke akikukataa kisa huna kazi?
Mtu hata ukutane nae baa ni baamedi bado ni mke mwema.huwezo jua Nini kimemkita Maishani mpaka kajikuta hapo,na wengine ukiwapa nafasi ya kubadilika wanabadilika.
MWENZA MZURI UMTAKAE MBADILISHE MTENGENEZE VILE UTAKAVUO,NAE KAMA NI MUELEWA ATABADILIKA.WATU HAWAFANANI
Ni kweli,tumeoa kabisaWanaume wa jf ndio wanaongoza kuoa single mama, hivi hizi nyuzi za kuwaponda single mama wao hawazioni?🤔
Na ujuaji wang lakin nimejikuta nimekamatwa na singo mama afu jobless,yaan yale matamanio yangu (yakutaman wale wanawake wadogo wenye magenge au wapambanaji wa kuingiza buku 2 na hawana watoto au wagumba kabisa) nimeyakosaNasema hivi anaeoa single maza huyo ni simp kama simp wengine. Yaani wee wanawake wamejaaa humu duniani ukao single maza kweli una akili au matope?
Yes women will treat u like shiit if u got no job so myt as well avoid women that are jobless
Haupo peke yako, mpo wengi humu mmeoa single maza.Na ujuaji wang lakin nimejikuta nimekamatwa na singo mama afu jobless,yaan yale matamanio yangu (yakutaman wale wanawake wadogo wenye magenge au wapambanaji wa kuingiza buku 2 na hawana watoto au wagumba kabisa) nimeyakosa
wewe singo mama tulia.Haupo peke yako, mpo wengi humu mmeoa single maza.