Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Tusilishane matango pori hapa, hii fomula umeitoa wapi kwamba hawa hawafai? Huo utafiti umeutoa wapi?
Unafikiri nimezungumzia Jambo jipya.
Hii ndio tatizo la kutokuwa na Wazee.
Watu wenye umri Mkubwa wote wanajua ninachokiongea. Ninyi wa Miaka hii kila Jambo mnafiki ni jipya linahitaji utafiti
Kama unataka kuoa/Kuolewa au kuanzisha mahusiano tafuta/angalia MTU MWEMA ANAYEENDANA NA ANAYEKUFAA WEWE haIjalishi kama yeye ni Single Mothers, Mtu Aliyelewa na Single Mother au Bibi, Hana Kazi+ Mwanamke wa Miaka 30+, Mwanamke Uliyekutana Naye Club, Baa, au Mama Ntilie, HAIJALISHI. Kuna watu wengi wake/waume waliotajwa hapo ambao ni WEMA SANA. Kuna watu wengi wenye umri chini ya miaka 30 HAWAFAI KABISA. Tusikariri mambo tafuta MTU MWEMA.
Alafu sijasema hawafai
Nimesema matokeo ya uchaguzi wako