Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

Tusilishane matango pori hapa, hii fomula umeitoa wapi kwamba hawa hawafai? Huo utafiti umeutoa wapi?

Unafikiri nimezungumzia Jambo jipya.
Hii ndio tatizo la kutokuwa na Wazee.

Watu wenye umri Mkubwa wote wanajua ninachokiongea. Ninyi wa Miaka hii kila Jambo mnafiki ni jipya linahitaji utafiti

Alafu sijasema hawafai
Nimesema matokeo ya uchaguzi wako
 
Sina mke mkuu na sitarajii kuoa hivi karibuni ila huwa nashangaa watu wanavyogeneralize maisha tofauti na uhalisia ulivyo hebu tusimulie ilikuaje mkazalisha masingle maza zaidi ya 10?
Sasa mkuu ukoo wenye watu zaidi ya 200 kuwa na singo mother 10 ni wengi?
Mbona kwa dunia ya sasa ni wachache sana hao au hujui maana ya ukoo?
Mkuu kama hujaoa singo mother basi utakuwa umesha mzalisha binti wa watu na kumuacha bila kumuoa ndo maana wakiongelewa singo mother unajihisi mwenye hatia maana huwa unatumia nguvu kubwa kuwatetea kwenye kila uzi.
Mkuu hakuna uhalisia kwenye uovu huwezi kuacha kukemea wizi eti kwa sababu kiuhalisia ni lazima wizi uwepo hapa duniani.
Narudia tena usingo mother sio sifa nzuri kwa mwanamke na ni ukatili mkubwa kumnyima mtoto malezi ya baba na mama .
Mungu akikupa watoto wa kike ndo utaelewa ninacho kimaanisha.
 
Gazeeti reeefu ambalo lote limelalia upande moja.

Muwe mnaweka usawa au nyie wenzetu mna ukamilifu kwa 100% sababu kiuhalisia kuna single father pia wapo wanaume wamelelewa na mzazi mmoja pia, wapo wanaume wana hadi miaka 50 nao hawajaoa.

Je hao na watu wawaepuke?
 
Na ujuaji wang lakin nimejikuta nimekamatwa na singo mama afu jobless,yaan yale matamanio yangu (yakutaman wale wanawake wadogo wenye magenge au wapambanaji wa kuingiza buku 2 na hawana watoto au wagumba kabisa) nimeyakosa
Aisee mbususu yake ilikulevya.
Inahitani uwe mwanaume wa shoka ili usipumbazwe na utamu wa mbususu ya single maza. Only strong men like mzabzab can manage
 
Single lazima avenger Nyumba mtoto wake kinyemela kwasababu anajua hana urithi kwenye ndoa yake na ukute huyo mtoto Baba yake hajulikani lizima atajitahidi kwanjia yoyote toto lake alipe urithi wake mapema.
 
heshima yako mpendwa!!
 
Some of us tumelelewa na hao hao wazazi masingo mother halafu walikua wanauza vyakula ili wamudu kutulea and we turned out just fine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…