Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Kuna kipindi nilikua nawatumia kama alarm maana saut yao ni kali kuliko ata alarm ya kwenye simu
 
Miaka gani hiyo mkuu mimi nimeishi north east LONDON kwa miaka saba adhani inaitwa tu vizuri na wazungu wanaiheshimu ni mesafiri paris mbona adhani ipo mkuu.
Je kuanzia saa 10 alfajiri wanaamshana kwa kutaja muda,
Na kuambiana sijui kitanda ulicholalia ndio jeneza lako n.k?
 
Adhana huwa inanifanya nipatwe na usingizi wa ajabu
 
Je kuanzia saa 10 alfajiri wanaamshana kwa kutaja muda,
Na kuambiana sijui kitanda ulicholalia ndio jeneza lako n.k?
Nacho jua adhana inatolewa kwa wakati wake mengine si yajui mara tano kwa siku na haizidi dakika 10.
 
Kuna kiwanja mkoan wakat nanunua palkua na viwanja vingne kama v tano vnanzunguka viwil pemben viwil mbele ya barabara ya mtaa, sijui uyo wa mbele alikutwa na nini kile kiwanja akatoa kama sadaka kijengwe msikiti yan sku nmeenda apo nliishiwa poz kukuta watu wanaswal nkaona kama vile nmetolewa kwenye malengo yangu direct kabsa mana kila nkipatafakar sion hata ntakuja kufanya ishu gan apo mana wao hata kufuga mbwa n msala kwao mana kuna sku atatoka mara kadumbukia kwenye kisima cha mskiti si watanigeuza mshikak hawa 😂
 
Kuna kiwanja mkoan wakat nanunua palkua na viwanja vingne kama v tano vnanzunguka viwil pemben viwil mbele ya barabara ya mtaa, sijui uyo wa mbele alikutwa na nini kile kiwanja akatoa kama sadaka kijengwe msikiti yan sku nmeenda apo nliishiwa poz kukuta watu wanaswal nkaona kama vile nmetolewa kwenye malengo yangu direct kabsa mana kila nkipatafakar sion hata ntakuja kufanya ishu gan apo mana wao hata kufuga mbwa n msala kwao mana kuna sku atatoka mara kadumbukia kwenye kisima cha mskiti si watanigeuza mshikak hawa [emoji23]
Ni chuki ndo zimewandama hamna lolote, mbona mitaani imeja wauza sumu za panya na menda na vipaza sauti lakini hamja lalamika sijui makafiri mnamatatizo gani na uislamu.
 
Wewe jipiganie mwenyewe kuutafuta ufalme wa mbingu hakuna aliyekutuma ukumbushe watu hayo unayodai.
Wewe una mapepo na majini njoo nikusome Quran tukufu nikutolee majini kichwani mwako.
 
Juzi nilikuwa narudi kwangu mida ya saa12 jioni nimechoka kinyama nakaribia kwangu nakutana na matundubai yamepigwa njia-panda yaani hakuna namna ya kuweza kupita na gari kufika kwangu maana waliweka njia-panda ya njia nne. Aise nilitamani kulia, Sehemu ni uswahilini hakuna sehemu ya kupaki halafu naambiwa shughuli ni hadi alfajiri nilichoka sana.
Dhehebu pekee iliyostarabika ni Wakatoliki huwakuti na mamiziki mikubwa wala makelele yasiyo na sababu wala kuziba njia zinanzotumiwa na watu wengine.
Na yale Makengele ngiingooooo-ngingoooo-ngingooo na Madansi ya Bwana kila mahala, vepe?
Au ndio Mkuki kwa Kitimoto?
 
Tena wasije kukusikia unalalamika watakutangazia fatwa na hata kukutupia jini furuqum
Tafuta dushe la kitimoto kila jini atakaetupiwa kwako ataishiwa kuliwa kiboga na kurudi alikotoka akisimulia kutatuliwa marinda
 
Ni chuki ndo zimewandama hamna lolote, mbona mitaani imeja wauza sumu za panya na menda na vipaza sauti lakini hamja lalamika sijui makafiri mnamatatizo gani na uislamu.
Umewasikia wauza sumu ya panya saa 10 alfajiri?
 
Tafuta dushe la kitimoto kila jini atakaetupiwa kwako ataishiwa kuliwa kiboga na kurudi alikotoka akisimulia kutatuliwa marinda
Embu pata hii
 
Ni dini ya fashion Wala hakuna Imani yoyote
Si unaonaga hata Ramadhani ? Wakifunga wanataka n'a wengine washinde njaa Hadi wanawapiga wanaokula Sasa hiyo ni dini au fashion
 
Back
Top Bottom