Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nishakwambia adhana inachosha.Wewe muislamu nusu au murtardi hamna muislamu wakuchukia adhani labda kama hujui manaake.
Katika hili almaruhum Mohamed Said una maoni gani?Nipo jirani na msikiti,
Kuanzia saa 10 alfajiri,
Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda,
"Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka,
Swala swala,!
Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.."
Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu,
Ni kweli hakuna namna ya kuamshana nyie tu bila kutukera sisi?
Au nchi hii yenu pekee yenu?
Kwani hamuwezi kutegesha alarm mkaamka wenyewe mpaka mpigiwe kelele za kuamshwa kutokea mbali?
Yaani tunatafuta pesa kwa shida,
Usingizi unakuja kwa shida,
Na asubuhi asubuh ukianza kupata usingizi mtamu unaamshwa kwa lazima
Nisameheni sana lakini mnakera walah wabilah!
*****************************
Mojawapo ya comment bora ni hii number #51 kutoka kwa Etrugul bay
Nikiwa muislamu mwenye akili timamu na mawazo huru naweza sema kuna baadhi ya watoa adhana hawako sahihi kabisa
Adhana kama adhana ikitolewa kwa mara moja wala haina shida kabisa lkn shida inakuja kwa watoa adhana kuongea sana na kusahau kuna watu wengine wasio waislamu wamepumzika,,kitendo cha kila mda kusema saa ngapi kinaboa sana,,ukweli usiopingika wanao swali hata adhana moja tu inawatosha kabisa
Kuna ambao wanatoa nasaha basi bora iwe maneno machache lkn wengine wanaongea sana,,hivi kuna lipi jema unalofanya wakati jirani yako anahudhunika au kukosa raha kwa ibada yako wewe?
Tuache mihemko ya dini hapa,,kuna mahala waislamu inabidi tubadilike tufahamu kwamba kila kitu kinapendeza kikifanywa kwa kiasi,,,hata kama wengine wasio waislamu wanapiga makelele lakini haihalalishi nasi tupige kama wao
Tumesisitizwa sana kuwajali majirani,kuwajali ni pamoja na kutowakera mpaka wakatuona ni kero kwao
Narudia tena adhana ni ibada kubwa sana na itaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia lakini tupunguze maongezi alfajir wakati wengine wamelala na kupumzika
Huwezi kua muislamu na apa, kama we ni muislamu niambie surat alfatiha ni ya ngapi kwenye Quran.Ndio nishakwambia adhana inachosha.
Ya kwanza.Huwezi kua muislamu na apa, kama we ni muislamu niambie surat alfatiha ni ya ngapi kwenye Quran.
Ina aya ngapi?Ya kwanza.
7Ina aya ngapi?
Uliza swali lingine nimeshakujibu.Ina aya ngapi?
Inside 10,Katika hili almaruhum Mohamed Said una maoni gani?
Umekosea hujui aya suratul alfatiha we muislamu gani? Umesema unaswali swala tano swaratul asr ina raka za suna ngapi kabla na badaye?
Chief nimecheka sana na umenikumbusha kuna siku nimemsindikiza mshikaji wangu dj wa kwenye madisko vumbi huwezi nililala usingizi wa maana hatua tatu kutoka kwenye spika iliyokuwa inapiga sound nzito hatariWewe ndio unafuatilia hizo sauti , mimi hata uwashe mashine ya kusaga nalala chumba hicho hicho .
Wewe utakuwa siasa kali.Umekosea hujui aya suratul alfatiha we muislamu gani? Umesema unaswali swala tano swaratul asr ina raka za suna ngapi kabla na badaye?
Mkuu katika uislamu hamna siasa kali wewe sio muislamu, hayo maneno unayo tumia hutumika na makafiri adui wa uislamu.Wewe utakuwa siasa kali.
Babu yangu muislam,Bibi yangu muislam,Baba & Mama waislam wewe ni nani wa kunikatalia uislam wangu ?.Mkuu katika uislamu hamna siasa kali wewe sio muislamu, hayo maneno unayo tumia hutumika na makafiri adui wa uislamu.
Ila wewe umesha kua murtadi huwezi kupinga/ kukerwa na tabia au sunna ya mtume( saw) af ukabaki kua muislamu %100 wewe utakua murtardi tangu nizaliwe sijawahi kuona muuslamu wa kuchukia adhana ata yule muislamu mlevi hawezi kukereka na adhana, inakua je wewe? Uwe muislamu?Babu yangu muislam,Bibi yangu muislam,Baba & Mama waislam wewe ni nani wa kunikatalia uislam wangu ?.
Kelele za adhana hazifuti uislam wangu.
Sichukii adhana.Nachukia sauti kubwa kupita kiasi.Ila wewe umesha kua murtadi huwezi kupinga/ kukerwa na tabia au sunna ya mtume( saw) af ukabaki kua muislamu %100 wewe utakua murtardi tangu nizaliwe sijawahi kuona muuslamu wa kuchukia adhana ata yule muislamu mlevi hawezi kukereka na adhana, inakua je wewe? Uwe muislamu?
2015 na 2016 mkuuMiaka gani hiyo mkuu mimi nimeishi north east LONDON kwa miaka saba adhani inaitwa tu vizuri na wazungu wanaiheshimu ni mesafiri paris mbona adhani ipo mkuu.