Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
- Thread starter
- #221
Umeshawahi kuchapwa umekula mchana mfungo wa kwaresma?Nyie waua albbbino ni washenzi wenye chuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshawahi kuchapwa umekula mchana mfungo wa kwaresma?Nyie waua albbbino ni washenzi wenye chuki
Huo ni uchawi wake mwenyewe na aliyemtuma ni mganga, na sisi sote tunajua waganga ni wa dini gani ,Vip na yule parroko aliyetymwa na knisa kuua walemavu wa ngozi?
Hayo mambo ya mtaani kwenu mtaekana sawa!Usikurupuke kuandika kitu ambacho hujakielewa, hakuna adhana za kurekodi, bali zile porojo tangu saa 9 usiku mpaka saa 11 alfajiri ni recorded na ndizo zinazolalamikiwa.
Adhana ni kitu mnachoweza kuvumilianaz lakini siyo kuleta porojo watu wamelala masaa matatu kwa ibada ya dakika tano tu.
Acha kutengeneza chuki, sijaona maoni ya muislamu akitukana hapa jukwaani ni nyinyi ndio mnaanzisha malumbano yasiyo na maana!Kaa tayari wanakuja..!
Utaoga matusi kama yote, hawa watu na matusi ni sawa na chura na maji.
Relax..!Acha kutengeneza chuki, sijaona maoni ya muislamu akitukana hapa jukwaani ni nyinyi ndio mnaanzisha malumbano yasiyo na maana!
Hapo mtaani kwako kuna wachawi wengi, mbwa wanawaona wachawi.nafikiri kwa adhana ya asubuhi ipigwe kwa sauti ya mtu bila kutumia speaker. maana kwanza speaker zamani hazikuwepo ni ugunduzi wa hivi majuzi..
pia ukikaa karibu na pub au uwanja wa ndege lazima ukereke. mimi kelele kidogo usingizi unapotea. nakumbuka wakati fulani kulikua na jirani yangu ana mbwa wake linapiga makelele kila ikifika saa 9 mpaka usingizi unakata.
Anglican, Lutheran, Catholic.Nionyeshe kanisa moja ambalo kelele hazitoki nje,acheni chuki nyie waua walemavu wa ngozi
Ni kweli,Mimi Kuna baadhi ya misikiti kadhaa nishawahi ingia na kuwaambia piga adhana Kwa dakika chache it's watu wenye kwenye ibada Kisha Zima kipaza sauti,haitakiwi dini kuwa kero Kwa wasio waislam na hata mafundisho hayako hivyo.THE BIG SHOW unatafutwa huku!
Ni elimu tuh,Kwa kweli hao watu ni kero hata kwetu sisi waislam wenzao pia,na tunapopata nafasi tunawaambia wajue uhalisia,kuwa tunaishi na watu wa Jamii nyingine pia, ambao they don't give a damn about hiyo adhana hata iweje.Mkuu,
Umeongea kwa hekma sana, na kama umeona hoja yangu sina ubishi na adhana, lakini imagine mtu kuanzia saa 10 alfajiri anaamsha wenzake tu kwa kuwataka waamke, bila kujali huo mtaa hauna waislamu pekee sio afya..
Umeongea kwa busara sana,
Natamani wengine waige hizi busara zako
Kweli mkuu,Ni elimu tuh,Kwa kweli hao watu ni kero hata kwetu sisi waislam wenzao pia,na tunapopata nafasi tunawaambia wajue uhalisia,kuwa tunaishi na watu wa Jamii nyingine pia, ambao they don't give a damn about hiyo adhana hata iweje.
Hakuna cha Bora,Mimi naona hata bora waislamu yao ni fupifupi Walokole makelele yao ni muda mrefu.Tuvumiliane jamani hii Nchi ni yetu wote.
Kweli wanazingua sana,after all Adhana ni wito wa kumuamsha mja aende kwenye maombi,ni hiyari yake ama kuamka au la,hata ukimtishia kama hataki,hataki tuh sasa unamtishiaje nyau??Kweli mkuu,
Imagine umechelewa kurudi kwenye mihangaiko yako unasema utafute usingizi angalau kidogo,
Mara unaanza kutishiwa,
Sijui kitanda ulicholalia ndio jeneza lako..
Amka,
Sasa hivi ni saa 10 dakika tano amka!!
Dah
🤣🤣🤣Hiyo speaker wanarekodi kama wauza dawa ya mende yeye muda huo anakuwa kalala kwa bi mdogo kelele mnapigiwa nyinyi.
PoleKumbe,
Kwakweli najuta kujenga huu mtaa,
Maana spika yao inapigia dirishani kwangu kabisa..
Kwani mtu hawez kutega alarm nyumbani kwake akaamka mpaka aamshwe?
😳🤔🤣🤣🤣Wewe ndio unafuatilia hizo sauti , mimi hata uwashe mashine ya kusaga nalala chumba hicho hicho .
Katika kitabu Cha torati Kuna Aya inasema mkumbuke Sana muumba wako kipindi Cha ujana wako.Hakuna kitu kama hicho na hiyo sasa itakuwa sio dini, kuswali au kutokuswali kwa mtu kuna kuhusu nini kwani wewe ndie Mungu anayehukumu watu.
Tatizo ni zile spika zao za kichini aloo sauti ni kubwa na inaumiza masikio kabisa.Huo ujinga ndio upo ktk hivi vikanisa vya mabati huku mitaani.
Unakuta watu wapo wawili au mmoja, ila hilo VIBE lake si mchezo.
Wanasauti zao ya kwanza mpk ya kumi na tisa.. usiombe ukutane na ya sauti ya 19..Tatizo ni zile spika zao za kichini aloo sauti ni kubwa na inaumiza masikio kabisa.
Beat halieleweki, gitaa lina spika yake, sijui kinanda bado waimbaji na sauti zao mkwaruzo yani full tafrani.
Ukiwaambia wanakuona ww umelaaniwa.