Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Usikurupuke kuandika kitu ambacho hujakielewa, hakuna adhana za kurekodi, bali zile porojo tangu saa 9 usiku mpaka saa 11 alfajiri ni recorded na ndizo zinazolalamikiwa.

Adhana ni kitu mnachoweza kuvumilianaz lakini siyo kuleta porojo watu wamelala masaa matatu kwa ibada ya dakika tano tu.
Hayo mambo ya mtaani kwenu mtaekana sawa!
 
Kaa tayari wanakuja..!
Utaoga matusi kama yote, hawa watu na matusi ni sawa na chura na maji.
Acha kutengeneza chuki, sijaona maoni ya muislamu akitukana hapa jukwaani ni nyinyi ndio mnaanzisha malumbano yasiyo na maana!
 
Sasa ni saa 11:30 usiku, toka saa 10 maspika ya Misikitini yanaunguruma tu. Nipo nimelala nayasikiliza.
Hii sio adhana tena bali ni mahubiri ya kusoma Qurani na kuyataja taja Majini.
Sipati picha kama Tanzania ingekuwa na Waislamu tu.
 
nafikiri kwa adhana ya asubuhi ipigwe kwa sauti ya mtu bila kutumia speaker. maana kwanza speaker zamani hazikuwepo ni ugunduzi wa hivi majuzi..

pia ukikaa karibu na pub au uwanja wa ndege lazima ukereke. mimi kelele kidogo usingizi unapotea. nakumbuka wakati fulani kulikua na jirani yangu ana mbwa wake linapiga makelele kila ikifika saa 9 mpaka usingizi unakata.
Hapo mtaani kwako kuna wachawi wengi, mbwa wanawaona wachawi.
 
THE BIG SHOW unatafutwa huku!
Ni kweli,Mimi Kuna baadhi ya misikiti kadhaa nishawahi ingia na kuwaambia piga adhana Kwa dakika chache it's watu wenye kwenye ibada Kisha Zima kipaza sauti,haitakiwi dini kuwa kero Kwa wasio waislam na hata mafundisho hayako hivyo.

Likewise hata baadhi ya makanisa ile kengele ya asbh au nyimbo za pambio za walokole katika mikesha Yao zinakwaza pia,kikubwa ni kuvumiliana na kuwa na kiasi Kwa kila kitu.
 
Mkuu,
Umeongea kwa hekma sana, na kama umeona hoja yangu sina ubishi na adhana, lakini imagine mtu kuanzia saa 10 alfajiri anaamsha wenzake tu kwa kuwataka waamke, bila kujali huo mtaa hauna waislamu pekee sio afya..

Umeongea kwa busara sana,
Natamani wengine waige hizi busara zako
Ni elimu tuh,Kwa kweli hao watu ni kero hata kwetu sisi waislam wenzao pia,na tunapopata nafasi tunawaambia wajue uhalisia,kuwa tunaishi na watu wa Jamii nyingine pia, ambao they don't give a damn about hiyo adhana hata iweje.
 
Ni elimu tuh,Kwa kweli hao watu ni kero hata kwetu sisi waislam wenzao pia,na tunapopata nafasi tunawaambia wajue uhalisia,kuwa tunaishi na watu wa Jamii nyingine pia, ambao they don't give a damn about hiyo adhana hata iweje.
Kweli mkuu,
Imagine umechelewa kurudi kwenye mihangaiko yako unasema utafute usingizi angalau kidogo,
Mara unaanza kutishiwa,
Sijui kitanda ulicholalia ndio jeneza lako..
Amka,
Sasa hivi ni saa 10 dakika tano amka!!
Dah
 
Kweli mkuu,
Imagine umechelewa kurudi kwenye mihangaiko yako unasema utafute usingizi angalau kidogo,
Mara unaanza kutishiwa,
Sijui kitanda ulicholalia ndio jeneza lako..
Amka,
Sasa hivi ni saa 10 dakika tano amka!!
Dah
Kweli wanazingua sana,after all Adhana ni wito wa kumuamsha mja aende kwenye maombi,ni hiyari yake ama kuamka au la,hata ukimtishia kama hataki,hataki tuh sasa unamtishiaje nyau??

Hao ni wajanja wajanja ambao hata mantiki ya adhana hawaijui,ila sasa tunafanyaje ni ndugu zetu hao waislam hatuwezi kukataa kuwa wanafanya,wanafanya na wanakera kweli kweli.
 
Hakuna kitu kama hicho na hiyo sasa itakuwa sio dini, kuswali au kutokuswali kwa mtu kuna kuhusu nini kwani wewe ndie Mungu anayehukumu watu.
Katika kitabu Cha torati Kuna Aya inasema mkumbuke Sana muumba wako kipindi Cha ujana wako.

Ewe ndugu yangu nakukumbusha kuswali
 
Huo ujinga ndio upo ktk hivi vikanisa vya mabati huku mitaani.

Unakuta watu wapo wawili au mmoja, ila hilo VIBE lake si mchezo.
Tatizo ni zile spika zao za kichini aloo sauti ni kubwa na inaumiza masikio kabisa.
Beat halieleweki, gitaa lina spika yake, sijui kinanda bado waimbaji na sauti zao mkwaruzo yani full tafrani.

Ukiwaambia wanakuona ww umelaaniwa.
 
Tatizo ni zile spika zao za kichini aloo sauti ni kubwa na inaumiza masikio kabisa.
Beat halieleweki, gitaa lina spika yake, sijui kinanda bado waimbaji na sauti zao mkwaruzo yani full tafrani.

Ukiwaambia wanakuona ww umelaaniwa.
Wanasauti zao ya kwanza mpk ya kumi na tisa.. usiombe ukutane na ya sauti ya 19..
 
Back
Top Bottom