Sio lazima kila mtu aanzishe familia

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Naelewa jinsi jamii ya Kitanzania inavyo pressurize watu kuanzisha familia ila kiuhalisia sio kila mtu lazima aanzishe familia (mume, mke au mtoto)
Kuna watu hawastahili kabisa kuwa na familia

Angalia matukio haya ya 2025/2026

Kuna huyu mwanamke, amemuua mume wake kisa mali, akamfunga kwenye kiloba, halafu akamfukia mbele ya nyumba, kwenye shimo, akaweka takataka juu ya mwili ili usionekane, akaufukia. Jambo jema polisi wamemkamata na inasemekana alikuwa na imani za kishirikina

.
Kuna huyu mwingine kamuua mke wake huko Kaskazini

.
.
Huko Iringa kuna dereva bajaji amemuua mwanae ili apate utajiri. Alianza kumchinja mtoto wake wa miaka 4, halafu akaukatakata mwili wa mtoto wake vipande vipande na kuviflash chooni. Ili kuondoa ushahidi kichwa cha mtoto wake akakiponda ponda kwa jiwe hadi kikasagika
Halafu ukiangalia huyu jamaa alifanana sana na mwanae, kupata mtoto ambaye ni chata yako hivi ni bahati kubwa sana. Unamuuaje mtoto wako kikatili hivi?

.
.
Binafsi nadhani sio kila mtu anastahili kuanzisha familia. Wengine ni psychopaths
 
Huyo kijana keshahukumiwa kunyongwa.. Ni jambo jema huyo Dada kudakwa nilijua hafiki mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…