Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

Unasema Zanzibar siyo nchi wakati ina Bendera yake, ina Rais wake na wewe Mtanganyika ukienda Zanzibar unatumia pasi ya kusafiria, utasemaje Zanzibar siyo nchi, hivi ndugu yangu Mtanganyika una akili gani wewe?
 
Tozo kwenye miamala ya Benki huo ni ushauri wa Lameck na ni kwanini Mama asimfukuze kama Paka mwizi?
 
yaani hata kama analipwa anauzi, ana post maupumbavu anafikiria huku JF wote ni wapumbumbavu kama yeye kumaa yake, mbovu
Mitanzania inasaka uteuzi kwa vitu vya kijinga sana.
Kuna misifa mingine ya kijanga hadi unayemsifia anashangas
 
Mwambie aweke na kwenye sabuni za mche[emoji24][emoji24]
 
Matusi ya nini tena? hehehehe
 
Unasema Zanzibar siyo nchi wakati ina Bendera yake, ina Rais wake na wewe Mtanganyika ukienda Zanzibar unatumia pasi ya kusafiria, utasemaje Zanzibar siyo nchi, hivi ndugu yangu Mtanganyika una akili gani wewe?
Naenda Zanzibar kila mwezi sijawahi kutumia pasi ya kusafiria, acha uwongo.
 
Naenda Zanzibar kila mwezi sijawahi kutumia pasi ya kusafiria, acha uwongo.

wewe bibi mbona una postigi uongo unafikiria wote ni wajinga kama mpumbavu wewe,. Unapata faida gani? kama unalipwa hicho ni kipato cha haramu
Sasa kwa tarifa yako utaratibu wa Mtanganyika kwenda Zanziba ni kama nilivyokoti hapo chini.

"Kwa mujibu wa utaratibu, Mtanganyika haruhusiwi kukata tiketi ya kusafiri kwenda visiwani humo iwapo hatakuwa na kitambulisho, kikiwamo cha uraia.
Vitambulisho vingine ambavyo Mtanganyika anatakiwa kuwa na kimojawapo, ni pamoja na cha makazi, kupiga kura, kazi, leseni ya dereva, utambulisho kutoka serikalini au pasi ya kusafiria."
 

Manufaaa?
 
Safi sana mama piga kazi kanyaga twende
 
Rais Samia analengo zuri na watanzania kupitia kilimo tutaondokana na umasikini amewekeza sana katika kilimo hata budget ya kilimo iko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…