evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
ndipo mnapokimbilia baada ya kushindwa hoja.
utasemaje serikali haina mkono wake kwenye bei ya mafuta wakati EWURA ambayo ni taasisi ya Serikali ndiyo inapanga?
Haiwezekani aachiwe adanganye lazima ajibiwe.
Halafu hunijui wala hautaweza kunijua ila kwa jinsi unvyokomenti inaonyesha hunifikii hata, robo ya maisha yangu na raslimali ninazomiliki .
Mimi sio mlamba viatu kama wewe na ninajielewa sana .
Endelea na upumbavu wako mtaendelea kuwa maskini wewe na kizazi chenu chote milele

Inaonyesha ni jinsi gani maisha yanakucharaza viboko na stess zinakuandama.