Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Hahaha.............halafu wakija kwenye Uzi husika Wana like na kuendelea kusoma comments 😅🙌
Sisi wazee tumekula chumvi mkuu, tuna uwezo wa kusoma na kupigia mstari....kimya kimya ina raha yake, umchape Demi then unasoma tu comments zake kimyakimya, halafu yeye anakuignore kiaina, huoni raha hiyo🤣🤣
 
Ukikumbuka vile alivyokuwa ana kumegea uno la uzazi Kwa bed lazima umind kiaina

Na kama alikuwa na kile kisauti cha kulilia, hapo lazima mwenye Mali ujitokeze ku-clear the air

Wazee tunapata shida Mkuu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…