Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Ukikumbuka vile alivyokuwa ana kumegea uno la uzazi Kwa bed lazima umind kiaina

Na kama alikuwa na kile kisauti cha kulilia, hapo lazima mwenye Mali ujitokeze ku-clear the air

Wazee tunapata shida Mkuu 😜
Hahahaha mkuu wewe sasa ndio una akili, unatembelea zile kumbukumbu tu, ukisoma makomenti yake wewe unasmile tu!🤣
 
Hatari Mzee mwenzangu 🤗

Nakumbuka mwaka 47, unapokuwa umekaribia mlango wa nyumbani kwako baada ya kutoka Kazini, lazima ujiimbishe nyimbo za akina Mbaraka Mwinshehe ili kama kuna mtu alikuwa anakusaidia majukumu Kwa Mama Chanja basi apate upenyo wa kukimbia 😜
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana mzee mwenzangu(mzee wa mchongo)

Zile zilikuwa zama za kale zama zeru, siku hizi wanafumania, hawa vijana wa hovyo kabisa.
 
Kimyakimya mkuu, na comments zako zote nakuwa nazisoma, manake ukilianzisha na mwingine nitajua tu, kwa jicho la mwewe🤣🤣
Ha haaa basi ukiwa na mimi utapata shida maana naweza taniana na mtu ukadhani tunakulana kumbe hamna chochote
 
Kwamba ukitaniana kawaida nitajua, ukikianzisha nitajua tu kuwa kina kitu, mapenzi hayajifichi hata kidogo. Hapo ni concentration tu inahitajika.
 
Ninae kualana nae hata siku moja simtanii ujinga. Hata kujibu comment yake ni kwa nadra sana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana mzee mwenzangu(mzee wa mchongo)

Zile zilikuwa zama za kale zama zeru, siku hizi wanafumania, hawa vijana wa hovyo kabisa.
Vijana wa sasa wanaiba hadi wanakutwa na mchuzi 😅🙌

Bora tumezeeka sasa 😜
 
Akija yy anaelewa

Nje ya mada, hv ile plan yako ya kutaka kujiua iliishia wapi?
nimeghaili kufa... maisha matamu... but my friend stress is really a bad thing 😭😭😭.... nawashukuru sana wana JAMIIFORUMS walinipa mawazo na wengine walinipigia simu... wengine walinitafuta physically tukaongea...

jf ni jungu kuu lisilo isha ukoko...!
 
Back
Top Bottom