Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu kwa kupendwa kwa ID tuu. Sisi wengine hatujawah pata hizo mabahati.Mimi ni mgeni humu, sijajua kama inaruhusiwa kutongoza ila kiukweli mimi huyu Mzigua90 ananichanganya sana. Najikuta natumia muda mwingi kumuwaza.
Hakyanani tena.
Nilikwambia ukajifanya unaona aibu wenzio wanambeba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa vichekesho, endelea kutuchekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajui inatakiwa Vijana wanaokuja na mihemko wawe na hekaheka za Mtu humu jukwaani. Wewe ni Shangazi kabisa sema huyu Vichekesho kukurupuka tu.Mimi muhenga mahangaiko yote hayo ya nini mie??
Mzigua90 njoo uone wanavyoiomba huku best [emoji1787]
NAKAZIA
kaswitch account
Hizi mambo ni kwa ajili ya kufurahishana humu, wanaochukuana wala hawatangazi. Ni mwendo wa kobe tu kitu kinaita.
Kwani hakuna kijana humu anayeweza kumpenda mzigua na kumfungulia uzi
Hadi muamini ameswitch account
Ukimuona kwa sura utamtamani au unapagawa na Id fake.
View attachment 2959907
Huyu uandishi wake tu unaonyesha anajitekenya halafu anacheka mwenyewe
Kaka yangu karemba hadi wenzie wamewahi 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaiomba live ili ukimshushua asaidike kubembelezewa 😂😂😂😂Hahamasishi kabisa. Wenzie private yeye anaomba jukwaani kama sio Vichekesho ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jando irudishwe vijana hawana confidence ya kutongoza