Hii ndio Siri kubwa ya mafanikio.Ubahili Ubahili Ubahili😂😂😂😂Kariakoo yupo jirani yangu mkinga asubuhi wakija wanakuja na hotpots kubwa chakula kutoka home marufuku kununua chakula.
By the way,ubahili siku zote ndo huifadhi shilingi so wanachokifanya ni sawa.
Bonge moja la wazo.Hio ni negative mindset tuliyonayo wafrika, tukiona ngozi nyeusi ambayo sio kabila letu linafanikiwa huwa tunalenga zaidi kuwasagia kunguni badala ya kujifunza kutoka kwao.
sipati picha kabila kama wasukuma wanaoongza kwa idadi kubwa ambao wapo takribani milioni 5 wangeyumia hii system.
Yani wangejikusanya wawe hata elf 10 tu basi wasingegusika
wasukuma elf 10 x 50,000 = milioni 500 pesa cash taslim kila mwezi
hio ni pesa nyingi mno, ni bilioni 6 kwa mwaka hio, hapo inatengwa bilioni 3 kwajili ya mitaji,nyingine inayobaki wanapeleka wale vipanga haswaa waende kusomea vyuo 10 bora duniani warudi na elimu za kisasa sio hizi zetu za kikoloni, pesa nyingine ijenge madarasa huko vijijini, kusaidia wanafunzi wenye uwezo mkubwa kuendelea na vyuo vya hapa bongo, n.k.
pesa ni kila mwezi hapo, wakiiganwanya iwe milioni 100 kwajili ya kuwainua wasukuma wenzao watano kila mwezi wangekuwa ni tishio.
ila ndio hivyo tena, mchawi anatafutwa ila huwa ni sisi wenyewe watu weusi
Kwenye neno NIDHAMU! Nakazia.Nadhani nidhamu ndiyo msingi wao.
Wakikopeshana wana nidhamu ya kurudisha
Wakiinuka kwa kuinuliwa wanayo nidhamu ya wao kuwainua wengine pia
Wakiipata pesa wanayo nidhamu ya matumizi yake
Wakiwa na umoja wanayo nidhamu ya masharti yake
Sasa ndugu zangu; kuna mdau humu JF ameandika signature kuwa hakuna nidhamu ya uoga maana nidhamu yenyewe ndio uoga pia😂😂.
Kama ambavyo waisraeli wanamuogopa Mungu mmoja aliyejuu yao bila unafiki[Nidhamu] na wanapata maendeleo makubwa.
Basi vivyo hivyo tukifanikiwa kujenga nidhamu tutaendelea..... iwe ni kuogopa Mungu mmoja, Kuogopa mababu wamoja, kuogopa umoja mmoja, serikali moja[Japan] chochote kile. Nidhamu, nidhamu, nidhamu. Mnaosema makafara yanawasaidia, mimi nitamodify na kusema ni nidhamu [ilitokana na chochote ikiwamo kafara, kama ni kweli] inayowasaidia👊💪
Hoja nzuri sana hiiKwenye neno NIDHAMU! Nakazia.
Hakuna cha kuroga wala kurogana. Pia tujifunze kuoanisha jiografia na uchumi wa eneo flan. Mkoa wa iringa kilimo peke yake kinalipa na unatoboa. Hata mwenye nguvu tu za kuanzia atatoka akiwa na nidham.
Ndumba na maneno yote ya ulemavu wa ufaham yamejikita kwenye nidham.
Wahaya na wachaga na wakurya/wajaluo wanabaki barabaran kwa sabab ya kupata zaid ya halali kama wizi, ukwepaji kodi na utapeli! Mana kwa kipato halali na matumiz yao yalivo wasingetoboa. Tatzo ni kuaminishana hata hizo haram ni akili au ujanja!
Uliyaona hayo makafara ama unayabebelea ya mitaanHyo inajulikana ila haiondoi ukweli kuwa wanatumia mikafara
Hii ni level ya jamii ambayo ni Maturity, Maturity ni level ya kuushinda ubinafsiHio ni negative mindset tuliyonayo wafrika, tukiona ngozi nyeusi ambayo sio kabila letu linafanikiwa huwa tunalenga zaidi kuwasagia kunguni badala ya kujifunza kutoka kwao.
sipati picha kabila kama wasukuma wanaoongza kwa idadi kubwa ambao wapo takribani milioni 5 wangeyumia hii system.
Yani wangejikusanya wawe hata elf 10 tu basi wasingegusika
wasukuma elf 10 x 50,000 = milioni 500 pesa cash taslim kila mwezi
hio ni pesa nyingi mno, ni bilioni 6 kwa mwaka hio, hapo inatengwa bilioni 3 kwajili ya mitaji,nyingine inayobaki wanapeleka wale vipanga haswaa waende kusomea vyuo 10 bora duniani warudi na elimu za kisasa za kusaidia nchi ma jamii yao sio hizi elimu zetu za kikoloni, pesa nyingine ijenge madarasa huko vijijini, pesa nyinginr kusaidia wanafunzi wenye uwezo mkubwa kuendelea na vyuo vya hapa bongo waje kuwa wanasheria, madaktari, n.k.
ila ndio hivyo tena, mchawi anatafutwa ila huwa ni sisi wenyewe watu weusi, utakuta hata huo muungano ukiwa na watu 10 tu kila mtu anataka pesa iliyochangushwa imsaidie mdogo wake au kaka yake hata kama hawezi biashara.
Biafra warNi kabila linaloongoza kuchukiwa Nigeria kwasababu ya kuwa na mafanikio makubwa sana na muungano wa kuinuana (apprenticeship), Nigeria kulikuwa na vita dhidi ya hili kabila mwaka 1968 hadi 1970 , waliuwawa watu milioni 2 wa hili kabila, huko mji wao waliharibu kila kitu na miundombinu, kali kuzidi yote wale wafanyabiashara wakubwa akaunti zao zilifirisiwa...... jeshi la Nigeria walidhani wamewaweza ila kwa mfumo wao huo wa kuinuana ilichukua miaka 30 tu kusimama upya, kwa sasa ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na mafanikio makubwa lakini ni kabila hili hili liliathirika na vita, bila hio vita wangeuwa mara 4 ya hapa
Akienda kukushtaki kwa Babu hicho kibamia chako kitakua ni Cha kupitishia mkojo tu.Kwa nini mkuu
Mkuu wengi wao unakuta ndiyo washirikina hatariNafikiri mtu asiyejua kuwa kuna ushirikina na uchawi duniani mtu huyo hajitambui kabisa.
Nafikiri mtu asiyejua kuwa kuna ushirikina na uchawi duniani mtu huyo hajitambui kabisa.
Tunaokaa mbeya, Tunduma ndio tunawajua ndugu zetu hao wakinga wanasaidiana sana ila ndumba hawawez kuacha na kabila lolote linalofanya biashara ndumba wengne wanajifanya wanakataa ila wanafanya sana.Yalikua yanatoka mavitu gani mkuu
Mchaga na mjaluo kwenye utapeli 1000% nakuunga mkono japo wote ni ndugu zangu ila daaah utapeli na ujanja ujanja umezid, Madili ya ajabu ajabu wamo mpaka kughushi mihuri na sign za wakubwa ukikosa hzo kabila basi hao wamesingiziwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye neno NIDHAMU! Nakazia.
Hakuna cha kuroga wala kurogana. Pia tujifunze kuoanisha jiografia na uchumi wa eneo flan. Mkoa wa iringa kilimo peke yake kinalipa na unatoboa. Hata mwenye nguvu tu za kuanzia atatoka akiwa na nidham.
Ndumba na maneno yote ya ulemavu wa ufaham yamejikita kwenye nidham.
Wahaya na wachaga na wakurya/wajaluo wanabaki barabaran kwa sabab ya kupata zaid ya halali kama wizi, ukwepaji kodi na utapeli! Mana kwa kipato halali na matumiz yao yalivo wasingetoboa. Tatzo ni kuaminishana hata hizo haram ni akili au ujanja!
makabila yote waliofanikiwa sehem ndio hutumia angalia waha, wachaga, wakinga, wasukuma.Mbinu ni nyepesi mno na ninahofia endapo kabila kubwa likiiga basi litakuwa mbali sana kimafanikio, mbali sanaaaa!![emoji706][emoji706][emoji706]