Wakinga bado sana kufikia wachaga, na wakinga wengi wanatumia ndumba mim mamkubwa wangu aliolewa na mkinga anaitwa sanga na anatokea lupalio makete wanapenda sana uchawi
Wanakumbuka kujenga kwao lakini? Wanatakiwa kuwa na kariakoo nyingine pale Makete kwa ajili ya kui supply nyanda za juu kusini na magharibi mwa Malawi na Zambia