Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako..

Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa tu, usikaribishe na kupakaza mikosi kwenye ofisi na gari ya watu tafadhali muungwana.

Ni vizuri kutafuta muda na mahali tulivu pa kushiriki faragha hiyo muhimu na ya heshima sana miongni mwa mahitaji mahususi sana ya kibinadamu kibayolojia kwa uhuru na amani.

Hicho ni kitulizo murua muafaka cha moyo na akili, mnakunjanaje ofisini au kwenye gari chap chap, haraka haraka kama kuku lakini?

Hii aibu na fedheha ya kukuta chupa za vilevi, vipisi vya sigara na baadhi ya nguo za ndani zilizozagaa pasipostahili ofisini, kwenye bajaji au ndani ya gari ni dharau gani lakini?

Ni muhimu sana tukalipa heshima na thamani inayostahili tendo hili la pekee na muhimu sana la faragha kulingana na utamu wake jamani.

Tuepuke kulifanya kimasihara..
Asanti 🐒
 
Uandishi wako usiofuata kanuni ....🤔
 
Punguzeni kuwaza ngono, asbh yoooote hiii badala ulete vitu vyenye mantiki tayari unawaza uzinzi uzinzi tuuuuu. Waafrika kuna pahala fyuzi zimepelea!
 
Bado ni nadharia fikirishi
Nilitegemea utaniambia "kuna mfanyabiashara mmoja alifirisika baada ya kugongana ofisini, na unitajie jina au hata indicator zake""

#YNWA
 
Sex ni popote hata msikitini au kanisani mnalombana tu,acha mawazo ya kipuuzi.
 
Hiyo kitu inatia mikosi ofisi
 
Vipi kama gari au hiyo bajaj sijaazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…