Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu habari.
Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba.

Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni.

Haijarishi unaenda kukutana na nani huko lodge either Baba wa mtoto au mchepuko! Watoto wadogo msiende nao Lodge.

Nimemaliza.
 
Ni mbaya kiroho kivipi
 
Sasa unaendaje kukutana na mchepuko guest house huku una mtoto mdogo mgongoni? Does it make sense?
 
Back
Top Bottom