lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman Mbowe lakini siioni ikifanya hivyo kwa Lissu.
Niseme tu nimemfuatilia sana Tundu Lissu wakati mwingi katika mazungumzo yake anatolea mifano na kufuata nyayo za Nelson Mandela. Ukimfualia kwa makini katika hotuba na mazungumzo mengi kuhusu kupigania haki mfano wake mkubwa ni wa Nelson Mandela mpigania uhuru wa Afrika. Sasa ukijua Mandela alikuwa mtu wa aina gani na alipitia nini katika kupigania uhuru utajua kuwa Lissu ni mtu wa aina gani.
Mtu anayekuwa inspired na Nelson Mandela kumpa kesi ya uhaini au kumfunga/kumnyonga ni kama kumvisha taji la ushindi. Unakuwa umempa nafasi ya kutimiza ndoto zake za kuwa kama Nelson Mandela. Kupitia alichopitia mtu anayehusudu harakati zake. Mtu wa namna hii tazama leo anakutwa na kesi ya kujibu mahakamani hata hashituki yaani. Unaona anatabasamu na haogopi kusonga mbele.
Mimi nimekuwa mahakamani mara nyingi sana, watuhumiwa wengi wakikutwa na kesi ya kujibu hukata tamaa, huingiwa hofu ya kuendelea. Lakini huyu mtu Tundu Lissu yeye ndiyo kwanza anawaomba majaji wamruhusu aendelee kuita msshahidi wake. Mawakili wa serikali ndiyp wanaomba kesi iahirishwe ili mshitakiwa ajiandae lakini mshitakiwa anakataa.
Ninaona ni kama mtu anayetamani kesi iishe na anajua anaweza kufungwa na anatamani iwe hivyo ili atimize ndoto zake za kuwa kama Mandela. Sijui serikali ipo tayari kiasi gani kumvika hilo taji la kifungo? Lskini kama serikali inatumia hiyo kesi kumfanya Tundu Lissu arudi nyuma anyooshe mikono na kuingia kwenye maridhiano binafsi sioni hilo likitokea kwa Tindu Lissu. Yeye anataka kuandika historia, msimsikilize maneno yake ya kulalamika na kutia huruma kuwa amekaa sana mahabusu, bali angalieni matendo yake. Kama angekuwa anataka kesi iishe awe huru kuingia kwenye maridhiano ni shilingi ngapi?. Ushauri wangu kama lengo la serikali siyo kumfunga hasa ni bora wakabadilisha njia ya kushawishi maridhiano. Ninao uhakika wa asilimia moia moja kama tunasubiri anyoshe mikono ndiyo tufanye maridhiano naiona 2030 hii hapa bila hilo kutokea.
Wakatabahu!
Tena imekwisha kabisaSerikali inajimaliza yenyewe
Lissu and Heche are principled hardliners—in matters of principle they stand like a rock. Serikali ya mazafakas wa CCM inapoteza muda tu!Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman Mbowe lakini siioni ikifanya hivyo kwa Lissu.
Niseme tu nimemfuatilia sana Tundu Lissu wakati mwingi katika mazungumzo yake anatolea mifano na kufuata nyayo za Nelson Mandela. Ukimfualia kwa makini katika hotuba na mazungumzo mengi kuhusu kupigania haki mfano wake mkubwa ni wa Nelson Mandela mpigania uhuru wa Afrika. Sasa ukijua Mandela alikuwa mtu wa aina gani na alipitia nini katika kupigania uhuru utajua kuwa Lissu ni mtu wa aina gani.
Mtu anayekuwa inspired na Nelson Mandela kumpa kesi ya uhaini au kumfunga/kumnyonga ni kama kumvisha taji la ushindi. Unakuwa umempa nafasi ya kutimiza ndoto zake za kuwa kama Nelson Mandela. Kupitia alichopitia mtu anayehusudu harakati zake. Mtu wa namna hii tazama leo anakutwa na kesi ya kujibu mahakamani hata hashituki yaani. Unaona anatabasamu na haogopi kusonga mbele.
Mimi nimekuwa mahakamani mara nyingi sana, watuhumiwa wengi wakikutwa na kesi ya kujibu hukata tamaa, huingiwa hofu ya kuendelea. Lakini huyu mtu Tundu Lissu yeye ndiyo kwanza anawaomba majaji wamruhusu aendelee kuita msshahidi wake. Mawakili wa serikali ndiyp wanaomba kesi iahirishwe ili mshitakiwa ajiandae lakini mshitakiwa anakataa.
Ninaona ni kama mtu anayetamani kesi iishe na anajua anaweza kufungwa na anatamani iwe hivyo ili atimize ndoto zake za kuwa kama Mandela. Sijui serikali ipo tayari kiasi gani kumvika hilo taji la kifungo? Lskini kama serikali inatumia hiyo kesi kumfanya Tundu Lissu arudi nyuma anyooshe mikono na kuingia kwenye maridhiano binafsi sioni hilo likitokea kwa Tindu Lissu. Yeye anataka kuandika historia, msimsikilize maneno yake ya kulalamika na kutia huruma kuwa amekaa sana mahabusu, bali angalieni matendo yake. Kama angekuwa anataka kesi iishe awe huru kuingia kwenye maridhiano ni shilingi ngapi?. Ushauri wangu kama lengo la serikali siyo kumfunga hasa ni bora wakabadilisha njia ya kushawishi maridhiano. Ninao uhakika wa asilimia mia moja kama tunasubiri anyoshe mikono ndiyo tufanye maridhiano naiona 2030 hii hapa bila hilo kutokea.
Wakatabahu!
alishauriHivi mnyika alimaanisha nini kusema hekima ya kiongozi itumike
Hiyo hekima imetumika sasaalishauri
hana hatari yeyote.Niliwahi kuandika uzi hapa Lissu kua jela ni hatari zaidi bora kua uraini Lissu akiwa uraini madhara yake ni madogo sana
SystemLusu gan!??
Huku Gereji mkononi?
Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa
Kamuwekee sumu na yeye.Lusu gan!??
Huku Gereji mkononi?
Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa
ni hiyari kwa aliyeshauriwa. time will tellHiyo hekima imetumika sasa
Weee utaniambia siku moja kuwa lile lilikua kosani hiyari kwa aliyeshauriwa. time will tell
Hakuna masawe wajingaLusu gan!??
Huku Gereji mkononi?
Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa