Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

Ofsini za vyama vya siasa na majengo miskiti na makanisa kama Lissu atafungwa jela Lazima tufanya kama Iran mwaga moto 🔥🔥🔥
Kama Iran tutapigana mpaka mwisho hii vita civil war
 
Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman Mbowe lakini siioni ikifanya hivyo kwa Lissu.

Niseme tu nimemfuatilia sana Tundu Lissu wakati mwingi katika mazungumzo yake anatolea mifano na kufuata nyayo za Nelson Mandela. Ukimfualia kwa makini katika hotuba na mazungumzo mengi kuhusu kupigania haki mfano wake mkubwa ni wa Nelson Mandela mpigania uhuru wa Afrika. Sasa ukijua Mandela alikuwa mtu wa aina gani na alipitia nini katika kupigania uhuru utajua kuwa Lissu ni mtu wa aina gani.

Mtu anayekuwa inspired na Nelson Mandela kumpa kesi ya uhaini au kumfunga/kumnyonga ni kama kumvisha taji la ushindi. Unakuwa umempa nafasi ya kutimiza ndoto zake za kuwa kama Nelson Mandela. Kupitia alichopitia mtu anayehusudu harakati zake. Mtu wa namna hii tazama leo anakutwa na kesi ya kujibu mahakamani hata hashituki yaani. Unaona anatabasamu na haogopi kusonga mbele.

Mimi nimekuwa mahakamani mara nyingi sana, watuhumiwa wengi wakikutwa na kesi ya kujibu hukata tamaa, huingiwa hofu ya kuendelea. Lakini huyu mtu Tundu Lissu yeye ndiyo kwanza anawaomba majaji wamruhusu aendelee kuita msshahidi wake. Mawakili wa serikali ndiyp wanaomba kesi iahirishwe ili mshitakiwa ajiandae lakini mshitakiwa anakataa.

Ninaona ni kama mtu anayetamani kesi iishe na anajua anaweza kufungwa na anatamani iwe hivyo ili atimize ndoto zake za kuwa kama Mandela. Sijui serikali ipo tayari kiasi gani kumvika hilo taji la kifungo? Lskini kama serikali inatumia hiyo kesi kumfanya Tundu Lissu arudi nyuma anyooshe mikono na kuingia kwenye maridhiano binafsi sioni hilo likitokea kwa Tindu Lissu. Yeye anataka kuandika historia, msimsikilize maneno yake ya kulalamika na kutia huruma kuwa amekaa sana mahabusu, bali angalieni matendo yake. Kama angekuwa anataka kesi iishe awe huru kuingia kwenye maridhiano ni shilingi ngapi?. Ushauri wangu kama lengo la serikali siyo kumfunga hasa ni bora wakabadilisha njia ya kushawishi maridhiano. Ninao uhakika wa asilimia mia moja kama tunasubiri anyoshe mikono ndiyo tufanye maridhiano naiona 2030 hii hapa bila hilo kutokea.
Wakatabahu!
Hahahahahaaaa!
Akili za nyumbu bwana🤣🤣🤣🤣
 
Labda ukapigane na mchepuko wa mumeo, jinga kabisa. Hakuna mtanzania (hata liwe nyumbu) atapigana eti kisa huyo wakala wa mabeberu anayenyweshwa dawa ya kusafisha mdomo mchafu usiopigwa mswaki
 
Mbele ya serious Judge na fair trial hakuna kesi pale,wanazidi kujiaibisha tuu na kujiongezea makosa ya October 2025
 
Lusu gan!??

Huku Gereji mkononi?

Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa
Na huyo aliyempa sumu yeye hatakufa? Magufuli aliyempiga risasi zaidi ya 30 ili afe ametangulia yeye kwanza. Dunia ni mapito fanya juhudi za kumwua mwenzako ili wewe ubaki milele lakni kumbe ukimtanguliza mwenzako mbele ya kifo na ww uko nyuma yake. Sawa furahini hilo ila tunajua serikali haina uwezo wa kushindana na Lissu kiakili.
 
Hahahahahaaaa!
Akili za nyumbu bwana🤣🤣🤣🤣
20250524_222118.jpg
tapatalk_1541404797313.jpeg
20250126_124953.jpg
downloadfile-17.jpg

Hizi ndio akili za fisi.
 
Lusu gan!??

Huku Gereji mkononi?

Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa

Mwennye kazi yake katika ubora wake sasa! Ulishafanya yako so, unasubiri matokeo siyo?
Usijasahau sana kwani mwinda naye huwindwa! Kikombe utakachomnyweshea ndicho utakachonywea.
 
Hii KESI inatuaibisha sana Kimataifa , sijui ila mwisho wake serikali itashindwa kwa aibu sana

Na huko mbeleni uongozi ukibadilika tegemeeni wengi walio na nafasi Sasa kuishia jela kwa Hali ilipofika lazima waumizane huko mbeleni ili kuaminika tena kwa Mabeberu
 
Lusu gan!??

Huku Gereji mkononi?

Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa

Na hii inaonyesha level ya desperation kwa maisha ya wauaji .

Yaani unafurahi kwenda kuua mtu kwa kumpa sumu eti ndio kazi yako.

Maisha ya hovyo sana kutokana na kazi chafu na mwisho wake huwa ni mchafu tu.
 
Halafu wanavyoona wanamkomoa ndio anazidi kujijengea wafuasi hata kama wengine walikuwa hawamfuatili kabla
 
Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman Mbowe lakini siioni ikifanya hivyo kwa Lissu.

Niseme tu nimemfuatilia sana Tundu Lissu wakati mwingi katika mazungumzo yake anatolea mifano na kufuata nyayo za Nelson Mandela. Ukimfualia kwa makini katika hotuba na mazungumzo mengi kuhusu kupigania haki mfano wake mkubwa ni wa Nelson Mandela mpigania uhuru wa Afrika. Sasa ukijua Mandela alikuwa mtu wa aina gani na alipitia nini katika kupigania uhuru utajua kuwa Lissu ni mtu wa aina gani.

Mtu anayekuwa inspired na Nelson Mandela kumpa kesi ya uhaini au kumfunga/kumnyonga ni kama kumvisha taji la ushindi. Unakuwa umempa nafasi ya kutimiza ndoto zake za kuwa kama Nelson Mandela. Kupitia alichopitia mtu anayehusudu harakati zake. Mtu wa namna hii tazama leo anakutwa na kesi ya kujibu mahakamani hata hashituki yaani. Unaona anatabasamu na haogopi kusonga mbele.

Mimi nimekuwa mahakamani mara nyingi sana, watuhumiwa wengi wakikutwa na kesi ya kujibu hukata tamaa, huingiwa hofu ya kuendelea. Lakini huyu mtu Tundu Lissu yeye ndiyo kwanza anawaomba majaji wamruhusu aendelee kuita msshahidi wake. Mawakili wa serikali ndiyp wanaomba kesi iahirishwe ili mshitakiwa ajiandae lakini mshitakiwa anakataa.

Ninaona ni kama mtu anayetamani kesi iishe na anajua anaweza kufungwa na anatamani iwe hivyo ili atimize ndoto zake za kuwa kama Mandela. Sijui serikali ipo tayari kiasi gani kumvika hilo taji la kifungo? Lskini kama serikali inatumia hiyo kesi kumfanya Tundu Lissu arudi nyuma anyooshe mikono na kuingia kwenye maridhiano binafsi sioni hilo likitokea kwa Tindu Lissu. Yeye anataka kuandika historia, msimsikilize maneno yake ya kulalamika na kutia huruma kuwa amekaa sana mahabusu, bali angalieni matendo yake. Kama angekuwa anataka kesi iishe awe huru kuingia kwenye maridhiano ni shilingi ngapi?. Ushauri wangu kama lengo la serikali siyo kumfunga hasa ni bora wakabadilisha njia ya kushawishi maridhiano. Ninao uhakika wa asilimia mia moja kama tunasubiri anyoshe mikono ndiyo tufanye maridhiano naiona 2030 hii hapa bila hilo kutokea.
Wakatabahu!
Maoni Yako na yaheshimiwe!
 
Back
Top Bottom