Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

Hilo haliwezi kutokeaa kamwe.maana walishazoe akina .........
 
Ukiomba Chai usilalamike inaunguza
Kama mlitishia sijui sheria uchwara za uchaguzi na mkatishia chama ambacho hakitasiani hakitashiriki uchaguzi, cdm hawakusaini na uchaguzi ukabuma hadi mkaiba kura kitoto, na kuishia kufanya mauaji, hapo mtamtishia nani? Mabadiliko yakija yamekuja, kutumia mbinu za zamani kwenye zama hizi ni kupoteza muda. Cdm wafanye kama kile kitu alifanya Kibanga kwa kumpiga mkoloni.
 
Lusu gan!??

Huku Gereji mkononi?

Huyo washambatiza muda anasubiri tu Futi kadhaa
Kufa si chaguo, bali ni lazima. Watu wa ccm ndio wanahofia jela na kifo maana wana mali za wizi watazipoteza. Hivyo tafuteni lingine cha kutishia.
 
Hakuna kitisho chochote, ni kwamab Lissu ana kesi ya kujibu.
Acheni kesi iishe tu
 
Hakuna haja ya kusitisha ulichokianzisha
Unaweza kufanya hivyo kama uli kurupuka
 
Lissu abow down kwa hilo sagaj chafu la kizmkaz never aisee safari hii sagaj na toto lake punga watakipata walichokitafuta.
 
WaZanzibar watapata tabu sana mama yao akitoka madarakani nawambieni, wataomba Muungano uvunjike wenyewe...
Wajiandae kisaikolojia kwakweli.
 
Ogopa sana mtu anayefatiliwa na wakubwa zako..!! Unakatiwa mrija wa misaada na kupangiwa vikwazo sababu yake..!!
 
Kwanini tusisubiri mbungi ifike mwisho tuone nani ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…