Lengo langu ni kuwataarifu vijana ambao wanamatarajio na elimu ya chuo.Lengo lako ni nini?? Waulize ambao walikua na maoni km yako wakayatimiza kisha waulize walioendelea kusoma,
Hakikisha umewauliza usiwaone tu ukajiongeza .
Kati ya watu waliongea point ni wewe mkuu...elimu ni muhimu sana ila shida ni mentality zetu.
Watanzania asilimia kubwa tunasoma kama njia ya kufanikiwa kimaisha (kupata ajira) na si kujikomboa kifikra na kuifanya elimu iwe part ya maisha yetu the result ni kumaliza kusoma na kutafuta ajira, kwa hapa elimu haiwezi kuwa na faida sana na ni kupoteza muda na ndo maana asilimia kubwa ya wahitimu hawajui kazi wanazotakiwa kufanya baada ya kumaliza vyuo.
Umeona! Alaf unakutwa mwamba anaponda mali kichizi kumbe ni form4 leaver kajipatia kileseni veta maisha yakasonga.🤣Nina mshkaji wangu yupo tasisi flan ya serikali ni driver tu ila hao wenye degree kutwa kumpiga mizinga kupanga ni kuchagua
Mimi nilienda chuo. Sikuwahi kubahatika kuajiriwa ila sijutii kwenda chuo. Kuna kitu nilikipata ambacho kimeniwezesha kumudu maisha.Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.
Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.
High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
Exactly, nakuelewa.Mimi nilienda chuo. Sikuwahi kubahatika kuajiriwa ila sijutii kwenda chuo. Kuna kitu nilikipata ambacho kimeniwezesha kumudu maisha.
Shida ni kwamba tunasoma soma tu yani ili mradi mtu apate bachelorExactly, nakuelewa.
Umuhimu wake upo sawa ila manufaa ni machache especially kwa dunia ya leo. Huwezi mshauri kijana aishie tabaka la chini akasomee kitu kwa miak 4 alfu aje apambane na unemployment.
Exactly hilo ndo lengo kuu la mada hii, ku pinpoint madhaifu ya watanzania walio wengi. Sema vichwa vigumu na mm nimechoka kabisa, watu hawaelwi somo, wanapambania hoja zisizo za msingi.Shida ni kwamba tunasoma soma tu yani ili mradi mtu apate bachelor
Nimemaliza chuo almost miaka 2 ilopita so nimevuka tayari.Elimu ya Tanzania imevurugika Sana nadhani Sababu kuwa ni ufundishwaji wa nadharia zilizopitwa na wakati.
Hapa Tanzania degree holder hana utofauti na form four kiufahamu.
Niseme inaumiza sana ,
Elimu ya maisha ingefundishwa chuo ingesaidia Sana kuliko ilivyo hivi sasa.
Kama upo chuo usiache chuo Ila jitahidi uwe msomaji wa vitabu itakusaidia kujipata
jifunze 2d animationKweli ila ni very rare sana, na kada nyingi sana tyr zime lose soko.
Au unataka ukasome utunzaji wa kumbukumbu?OK, sipo interested lakini. Kama unajifunza keep it up. Inasoko especially kuna content creators wengi wanauhitaji.
Ndio fani wengi wanazosomaHapana mbona umeuliza?
Hata mambo ya psychology ambayo hayana soko?Hapana mkuu, kusoma chuo nimeshasoma nilosoma engineering inikahamia economics. And now najutia kupoteza mda
Tatizo elimu zetu zinatufundisha kukariri notes, na si kutenda, ndio maana tunaona ajira zinakuwa ngumu, kwa sababu ni elimu tuliyopata haitusaidii kutengeneza kitu na kuuza.Hapana mkuu, kusoma chuo nimeshasoma nilosoma engineering inikahamia economics. And now najutia kupoteza mda