Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana