Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho

Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Hao vijana si ndo walitaka kuzamisha meli?
 
Vipaji huandaliwa kwenye clubs sio timu ya taifa. Huku wanaletwa wakiwa wameiva wakiwa wanahitaji uzoefu tu.
Ndio ila taifa linatakiwa kuwaandaa hawa vijana kuwatengenezea fursa
 
Under 17,under 20 wapo unasemaje hatuna vijana! Kwani kinachotakiwa ni ni ushindi! Pepe wa ureno bado anacheza! Mess na Argentina bado anathema
Najua ila watengeneze mashindan mengi zaidi uko nakovunde 17 kuna figisu pia
 
Timu yetu ya taifa bado haina mbadala wa Msuva na Samatta, vijana wenye vipaji wapo ila wakipewa nafasi wanaleta ubishoo tu, hawana tija.

Mechi ya mwisho itaamua japo nafasi yetu ni finyu sababu Guinea wametuzidi uwezo kiasi, wana kasi mno na mechi na DRC wanaelekea kushinda au kupata droo.

Taifa stars inacheza vizuri kipindi cha kwanza, wakiingia second half hawana morali na hawana pumzi tena kama mwanzo, wanakata moto na kukaba bila utaratibu na bila umoja , wanazurura tu uwanjani, mazoezi ya kukimbia na pumzi ni muhimu sana kwasasa ili tushinde mechi ya mwisho. Nashauri wakimbizwe tu mazoezini kwa dakika 200 , maana mpira wanajua.

Nampongeza sana kocha Morocco kuna namna kaamua kufungua akili anapanga kikosi imara siku hizi. Sijui alikuwa wapi siku zote. Mechi ya awali na Ethiopia tulipaswa kushinda, hii iwe fundisho kampeni zetu za Afcon zianze mwanzo kwa timu kupambana na kushinda mwanzo sio kusubiri hadi mechi ya mwisho. Timu yetu ni kubwa kwasasa wachezaji wajiamini hakuna kuogopa timu yoyote tena.

My take
Ushauri kwa wachezaji wa taifa stars waache rafu za kipumbavu hasa za kuumiza wapinzani kutokea nyuma, binafsi wananiboa sana, kucheza rafu za makusudi ni kuonesha uwezo wa mchezaji ni mdogo, nawashauri wanapopitwa wasiwakwatue wapinzani kwa nyuma waache waende kwani mbele si kuna mabeki rafu za nini, wamejaa ujinga mtupu, mechi ya leo refa katubeba sana katunyima kadi zetu nyingi , mechi ya mwisho na Guinea taifa stars waache huo ujinga wa rafu za kijinga watakula red, ukipitwa kimbiza ila usicheze rafu. Hiyo anayo zaidi Mzize, Msuva, Mudathir na Miroshi acheni hizo mtaikost taifa stars.
 
Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho

Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Watu kama wewe ndio mmesababisha timu iwe hapo ilipo sasa hivi.
Mlitoa ushauri huu wa kipumbavu wakawaacha Samata na Msuva timu ikasumbuka sana mechi Ethiopia hapa nyumbani.
Ukishauri waachwe,pendekeza nani anafaa kuliko wao ili tuone kama una akili ama unaongozwa na skanka
 
Maveteran wanaigharimu timu yetu🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20241116-211325.png
    Screenshot_20241116-211325.png
    625.2 KB · Views: 5
Watu kama wewe ndio mmesababisha timu iwe hapo ilipo sasa hivi.
Mlitoa ushauri huu wa kipumbavu wakawaacha Samata na Msuva timu ikasumbuka sana mechi Ethiopia hapa nyumbani.
Ukishauri waachwe,pendekeza nani anafaa kuliko wao ili tuone kama una akili ama unaongozwa na skanka
Umeelewa nilichosema?
Kwahy mtawatumia hao mpka lini?
 
Back
Top Bottom