Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Andaeni mashindan kwa vijana tena kule mtaani ila mpira wa bongo ni figisuMpaka tutapopata kama hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaeni mashindan kwa vijana tena kule mtaani ila mpira wa bongo ni figisuMpaka tutapopata kama hao
We ngoja tuineTutatia aibu sana 2027
Kwaiyo tukaweteke tuwapeleke uwanjaniKwani vijana wanaishi kwenye sayar ya jupiter?
Hiyo vyote vishafanyika ila kuwapata wachezaje aina ya Samata na msuva ni bahati unaweza kupata mchezaji mwenyekipaji ila hajitumi wala Hana nidhamuAndaeni mashindan kwa vijana tena kule mtaani ila mpira wa bongo ni figisu
Sijui naongea na mtu wa aina gani hanielewiKwaiyo tukaweteke tuwapeleke uwanjani
Nichomaanisha kama vijana hawana juhudi za kufika juu kama Samata na msuva hata ufanye Nini ni kazi bureSijui naongea na mtu wa aina gani hanielewi
Mbona kama wewe ndio umekurupuka?Unajua mpira wewe kweli ? Unafuatilia team ya taifa ? Unakurupuka tuu? Jipange
Soka la tz ni figisu mkuuuNichomaanisha kama vijana hawana juhudi za kufika juu kama Samata na msuva hata ufanye Nini ni kazi bure
Basi sawa....acha iwe hivyoMbona kama wewe ndio umekurupuka?
Hao vijana unaowataka wako wapi? Hao wazee hawana viwango. Sisi kelele nyingi.Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Ronaldo umri wake ni sahihi, wakati Samata umri wakutengenezaMsuva Kesha tupia la kwanza na "uzee" wake
Ronaldo na Samatta nani mkubwa ki umri vile?
Wewe unafikiri kuna kocha mle?Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Kocha pia tatizo na wachezaji hatunaWewe unafikiri kuna kocha mle?
Yaani huyu Mzee huwa anataka mwanaye asiachwe kwa lolote. Wakati kiuhalisia msaada wa Samatta kwenye timu ya Taifa unazidiwa na Simon Msuva.Baba yake samatta atakubali mtoto wake asicheze?
Swali fikirishi je hao wachezaji vijana wana uwezo na uzoefu, nadhani walisha wajaribuNashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Kwani hao mnaosema wanauzoefu waliupataje?Swali fikirishi je hao wachezaji vijana wana uwezo na uzoefu, nadhani walisha wajaribu
Tulia maana kwa hatua tuliyopo wanahitajika watu wenye uzoefu kutuvusha,Huyo Edwin Balua unayetaka acheze inafaa aongeze juhudi na maarifa,umeambiwa hatutaki ushauri wa kipumbavu.Umeelewa nilichosema?
Kwahy mtawatumia hao mpka lini?