Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sawa ila kuna haja ya kutafuta vijana wadogo wenye vipaji hao wazee acheni nao kwasasa wanatakiwa kupumzikaMsuva Kesha tupia la kwanza na "uzee" wake
Ronaldo na Samatta nani mkubwa ki umri vile?
Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Wapo wengi wanatakiwa kupumzika lakini wamewakumbatia kisa majinaMsuva atengwe.
Kabisa mkuu hatuna wachezaji zaidi tunawategemea hao wazeeHoja muhimu hii. Sasa hivi tulihitaji kuwa tunasuka kosi la AFCON 2027 pale tutakapokuwa wenyeji. Tukitegemea kuwatumia hawa wazee miaka 3 ijayo, tutaaibika hapa hapa nyumbani.
Yah ila msuva ana impact kwenye hii squad mkuu.Wapo wengi wanatakiwa kupumzika lakini wamewakumbatia kisa majina
Unajua mpira wewe kweli ? Unafuatilia team ya taifa ? Unakurupuka tuu? JipangeNashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Sawa je miaka mitatu ijayo bado mtamtumia pia?Yah ila msuva ana impact kwenye hii squad mkuu.
Sawa je miaka mitatu ijayo bado mtamtumia pia?
Sijui ila wew unaona hao wachezaji wana msaada kwa miaka ijayo?Unajua mpira wewe kweli ? Unafuatilia team ya taifa ? Unakurupuka tuu? Jipange
Ndicho tunachotaka kuona kukiona sasaiviHamna, waandaliwe vijana wadogo.
Vijana wapo wengi na wanajulikana....issue kufuzu sasa hizi game 2....tushinde tuweze kufuzu huko mbele tujenge team vijana zaidiiiSijui ila wew unaona hao wachezaji wana msaada kwa miaka ijayo?
Kunatakiwa kupata vijana under 23 ambapo wanakuwa wamepikwa wakapikika sio hao ambao wanacheza kwa majina
Ndicho nachomaanisha mtu kama samata kwasasa wangeachana nae wangejikita kutafuta mbadalaVijana wapo wengi na wanajulikana....issue kufuzu sasa hizi game 2....tushinde tuweze kufuzu huko mbele tujenge team vijana zaidiii
Kwani baba yake ni nani katika timu au taifa?Baba yake samatta atakubali mtoto wake asicheze?
Vijana walishindwa kupata matokeo ikabidi wazoefu waongezwe na wamefanya vizuriNashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho
Samata kwasasa hana msaada tena kwenye timu ya taifa badala yake timu ijikite kuangalia au kutafuta vipaji vipya now tz tuna wachezaji wazee sana
Tukifuzu wataitwa hao haoVijana wapo wengi na wanajulikana....issue kufuzu sasa hizi game 2....tushinde tuweze kufuzu huko mbele tujenge team vijana zaidiii