Unyanyasaji aliofanyiwa Lisu ni wa kutisha sana na huwa inawashangaza watanzania wakiwaona viongozi wa ccm makanisani misikitini, hutamani wawazuie kufika huko kwa kuwa wamekosa sifa za kuhudhuria nyumba za ibada takatifuKweli kabisa Lissu kapigwa risasi,kaenda kutibiwa,mazombi wanamwita msaliti,laolewa na mabebebru,Sasa najiuliza hivi lisu alijipiga risasi ili aende kutibiwa kwa mabebebru?
Ametukanwa,amenyimwa Haki zake za kibunge,matibabu na hata Haki ya kuombewa alinyimwa.
Mkuu kwa hoja zako mmewashika kila sehemu,Nasikitika Vijana wa CCM Ni vijana wajinga kuliko vijana woote wa Afrika.lakini Nasikitika kuwa Ni sehemu ya Watanzania.Mageuzi nchi hii yalitakiwa yaanzie ndani ya CCM na vijana wa CCM.Huo ndiyo Ukweli wenyewe japo ccm ya sasa imejaa watu wenye uvivu wa kufikiri, wapo wana ccm wajinga zaidi wanalazimisha watanzania wafikiri kama wao
ccm hujiona wapo juu ya sheria lakini wapinzani ndiyo wapo chini ya sheriaNimependa majibu na maelezo yako.
Hawa jamaa mmewashika kila sehemu.safi Sana.
Ndio silaha pekee mpiyobakiza,kumtoa kwenye kinyang'anyiro kwa kutumia NEC lakini sio kwa boksi la kura.Ukitukana unapigwa chini, huyo mnyatu mbona anafanya ziara tu kwenye kinyanga'anyiro kaonjeshwa fomu tu. Tutakuwa nae vijiweni soon
Kwahiyo waliompiga risasi wanakasirika.Lissu sio mwanasiasa na ukimuangalia,kaja julipiza kisasi kwa waliompiga risasi
Tatizo kubwa ni Tume huru, na utaratibu wa wakurugenzi wa ccm kutumika kuwatangaza washindi, pia lipo tatizo kubwa polisi hutumika kuzuia kuwafukuza walinzi wa mabox ya kura, haya ndiyo vikwazo vikubwa kwa usitawi wa upinzani, inakuwa vigumu kuzuia wizi wa kura katika mazingira haya mabaya zaidi DunianiMkuu kwa hoja zako mmewashika kila sehemu,Nasikitika Vijana wa CCM Ni vijana wajinga kuliko vijana woote wa Afrika.lakini Nasikitika kuwa Ni sehemu ya Watanzania.Mageuzi nchi hii yalitakiwa yaanzie ndani ya CCM na vijana wa CCM.
Wajifunze kwa akina Julius Malema wa south Afrika.
Ila wapigeni tu kwa hoja watanyooka tu.
Unyanyasaji aliofanyiwa Lisu ni wa kutisha sana na huwa inawashangaza watanzania wakiwaona viongozi wa ccm makanisani misikitini, hutamani wawazuie kufika huko kwa kuwa wamekosa sifa za kuhudhuria nyumba za ibada takatifu
[/QUO
Lol na Bado Lissu kasema hatalipiza kisasi,mijitu ina Roho mbaya Sana nchi hii.
Na mijitu miuaji hua inapenda Sana kutumia nyumba za ibada kuficha ushetani wao.
We muone Bashite anapenda Sana kutumia madhabahu au maimamu ili kujificha ujambazi wake.
Mimi nakuambia Bashite Ni jambazi kama majambazi wengine.
Hata wasimamishwe kila mtu awe anapokea kura yake lissu hatoboi hata robo ya kura zote...Tatizo kubwa ni Tume huru, na utaratibu wa wakurugenzi wa ccm kutumika kuwatangaza washindi, pia lipo tatizo kubwa polisi hutumika kuzuia kuwafukuza walinzi wa mabox ya kura, haya ndiyo vikwazo vikubwa kwa usitawi wa upinzani, inakuwa vigumu kuzuia wizi wa kura katika mazingira haya mabaya zaidi Duniani
Huyu anayeenda makanisani kuwaasa wananchi wasiwachague wanaowaita vibaraka. Yeye kaanza campaign amechelewa ?! . Rudia hotuba yake juzi kwa walokoleMaoni yako yanadhirisha sasa TL kaanza kampeni kabla ya wakati.we have long way to go
Yana mwisho haya,kosa moja CCM litawagarimu.Tatizo kubwa ni Tume huru, na utaratibu wa wakurugenzi wa ccm kutumika kuwatangaza washindi, pia lipo tatizo kubwa polisi hutumika kuzuia kuwafukuza walinzi wa mabox ya kura, haya ndiyo vikwazo vikubwa kwa usitawi wa upinzani, inakuwa vigumu kuzuia wizi wa kura katika mazingira haya mabaya zaidi Duniani
Wewe umejuaje hata kura hazijapigwa ndio maana tunasema nyie Ni wezi wa kura.Hata wasimamishwe kila mtu awe anapokea kura yake lissu hatoboi hata robo ya kura zote...
Maoni yako yanadhirisha sasa TL kaanza kampeni kabla ya wakati.we have long way to go
Mbona walivaa nguo za ccm,plus waliambiwa Cha kuimba.oneni hata aibu miaka 5 mnapiga kampeni nchini nzima ikiwemo Hadi kutoa rushwa makanisani na kugawa pesa barabarani ili kununua Upendo.Yeye kusaka wadhamini ni kosaTofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!
Wapinzani wetu wanakosoa mambo ambayo hata wao hawayaamini kama ni makosa na ndiyo maana hata wao huyatenda kwa namna yao,ndio mfano unaona wapinzani wanaikosoa serikali kwa jinsi inavyoichukulia corona ila hao hao wapinzani nao wanaenda kukusanya watu kwa mikusanyiko isiyo ya lazima.Kwa upeo wako mdogo unaona wapinzani wanaiponda serikali? acha upumbavu wewe kile unachokiona siyo kuiponda serikali bali ni kazi ya upinzani kuisosoa kuonyesha udhaifu mapungufu ya serikali, unataka wapinzani waisifie serikali ili iweje?
N
Nakuhakikishia hamtaweza kumtoa Lisu mkabaki salama.
Kama mnataka nchi hii ianguke kiuchumi jaribuni kufanya huo ujinga wenu.
Usifikiri Watanzania wooote Ni CCM.