Uchaguzi 2020 Sioni sababu ya kufanya mikutano na kuwatukana wengine wakati wa kutafuta wadhamini

Uchaguzi 2020 Sioni sababu ya kufanya mikutano na kuwatukana wengine wakati wa kutafuta wadhamini

Kweli kabisa Lissu kapigwa risasi,kaenda kutibiwa,mazombi wanamwita msaliti,laolewa na mabebebru,Sasa najiuliza hivi lisu alijipiga risasi ili aende kutibiwa kwa mabebebru?
Ametukanwa,amenyimwa Haki zake za kibunge,matibabu na hata Haki ya kuombewa alinyimwa.
Unyanyasaji aliofanyiwa Lisu ni wa kutisha sana na huwa inawashangaza watanzania wakiwaona viongozi wa ccm makanisani misikitini, hutamani wawazuie kufika huko kwa kuwa wamekosa sifa za kuhudhuria nyumba za ibada takatifu
 
Huo ndiyo Ukweli wenyewe japo ccm ya sasa imejaa watu wenye uvivu wa kufikiri, wapo wana ccm wajinga zaidi wanalazimisha watanzania wafikiri kama wao
Mkuu kwa hoja zako mmewashika kila sehemu,Nasikitika Vijana wa CCM Ni vijana wajinga kuliko vijana woote wa Afrika.lakini Nasikitika kuwa Ni sehemu ya Watanzania.Mageuzi nchi hii yalitakiwa yaanzie ndani ya CCM na vijana wa CCM.
Wajifunze kwa akina Julius Malema wa south Afrika.
Ila wapigeni tu kwa hoja watanyooka tu.
 
Lissu ana msongo wa mawazo. Akiwaza kutupiwa zigo la lawama na chadema kwamba si umetaka mwenyewe, anaona balaa! Alifikiria anayepambana nae anaamua atukane tu..kaathirika kiakili. Tumvumilie sisi wananchi ila akiendelea atakatwa na tume..
 
Kampeni zikianza rasmi
Na nondo zikianza kusukwa kwenye bim
Yule kigulu de
Mwenye uraia pacha
Natabiri sio tu Arusha
Nchi nzima raia watamtimua na mawe kila kona ya nchi
Watanzania sio wajinga..
Anayebisha atunze maneno yangu..
 
Mkuu kwa hoja zako mmewashika kila sehemu,Nasikitika Vijana wa CCM Ni vijana wajinga kuliko vijana woote wa Afrika.lakini Nasikitika kuwa Ni sehemu ya Watanzania.Mageuzi nchi hii yalitakiwa yaanzie ndani ya CCM na vijana wa CCM.
Wajifunze kwa akina Julius Malema wa south Afrika.
Ila wapigeni tu kwa hoja watanyooka tu.
Tatizo kubwa ni Tume huru, na utaratibu wa wakurugenzi wa ccm kutumika kuwatangaza washindi, pia lipo tatizo kubwa polisi hutumika kuzuia kuwafukuza walinzi wa mabox ya kura, haya ndiyo vikwazo vikubwa kwa usitawi wa upinzani, inakuwa vigumu kuzuia wizi wa kura katika mazingira haya mabaya zaidi Duniani
 
Hivi Meko amewatukana eapinzani mara ngapi? Nadhani kila mmoja anajua kwamba ni mara kibao.

Ila Lissu hajawahi kumtukana Meko. Kama amemtukana kwanini msimburuze mahakamani, nyie si ndio mabingwa wa kushitaki wapinzani wenu?
 
Lol
Unyanyasaji aliofanyiwa Lisu ni wa kutisha sana na huwa inawashangaza watanzania wakiwaona viongozi wa ccm makanisani misikitini, hutamani wawazuie kufika huko kwa kuwa wamekosa sifa za kuhudhuria nyumba za ibada takatifu
[/QUO
Lol na Bado Lissu kasema hatalipiza kisasi,mijitu ina Roho mbaya Sana nchi hii.
Na mijitu miuaji hua inapenda Sana kutumia nyumba za ibada kuficha ushetani wao.
We muone Bashite anapenda Sana kutumia madhabahu au maimamu ili kujificha ujambazi wake.
Mimi nakuambia Bashite Ni jambazi kama majambazi wengine.
 
Tatizo kubwa ni Tume huru, na utaratibu wa wakurugenzi wa ccm kutumika kuwatangaza washindi, pia lipo tatizo kubwa polisi hutumika kuzuia kuwafukuza walinzi wa mabox ya kura, haya ndiyo vikwazo vikubwa kwa usitawi wa upinzani, inakuwa vigumu kuzuia wizi wa kura katika mazingira haya mabaya zaidi Duniani
Hata wasimamishwe kila mtu awe anapokea kura yake lissu hatoboi hata robo ya kura zote...
 
Maoni yako yanadhirisha sasa TL kaanza kampeni kabla ya wakati.we have long way to go
Huyu anayeenda makanisani kuwaasa wananchi wasiwachague wanaowaita vibaraka. Yeye kaanza campaign amechelewa ?! . Rudia hotuba yake juzi kwa walokole
 
Tatizo kubwa ni Tume huru, na utaratibu wa wakurugenzi wa ccm kutumika kuwatangaza washindi, pia lipo tatizo kubwa polisi hutumika kuzuia kuwafukuza walinzi wa mabox ya kura, haya ndiyo vikwazo vikubwa kwa usitawi wa upinzani, inakuwa vigumu kuzuia wizi wa kura katika mazingira haya mabaya zaidi Duniani
Yana mwisho haya,kosa moja CCM litawagarimu.
Na hivi ninavyoona CCM wameshakosea.
Kosa walilofanya Ni kumpiga Lisu na Sasa Lissu anafuatiliwa na Dunia nzima,Lisu anajua kudai Hali zake,Lisu anajua kujieleza,anajua kujenga hoja,anajua kumjaza hasira mpinzani wake,anajua kushawishi wapiga kura,mataifa na Taasisi za kiakataifa za kuangalia na kusimamia Haki.
Nakuhakikishia safari hii CCM wataona kila rangi.
CCM wamekosea kumpa uongozi mtu ambae amekua akiwanyima watu Haki zao,mfano,

Wafanyakazi,wakulima,wafanyabiashara,Vyombo vya habari,nchi marafiki.
Haya ndio makosa yameiingiza CCM kwenye kumi na nane.
Wanahangaika kujinausua.
 
Hata wasimamishwe kila mtu awe anapokea kura yake lissu hatoboi hata robo ya kura zote...
Wewe umejuaje hata kura hazijapigwa ndio maana tunasema nyie Ni wezi wa kura.
Hivi unavyozungumza hapa mna kura za bandia mmeshatengeneza na ndio mnachojivunia.watu dhaifu Sana nyie.
Vyombo na Taasisi zote za nchi mnapambana na Mtu mmoja tu huo Ni udhaifu mkubwa Sana, mnatakiaa muone aibu.
 
Maoni yako yanadhirisha sasa TL kaanza kampeni kabla ya wakati.we have long way to go

Uwe unatumia akili japo kidogo. Ni wakati gani wapinzani wanaruhusiwa kusifia au kupongeza. Yeye Lissu au yeyote tangu alipoonyesha dhamira ya kushindana na JPM basi tangu wakati huo hata kama ni miaka mitatu nyuma basi wajibu wao ulikua ni kujijenga juu udhaifu au strength za wanayepambana naye. Hizo zote ni kampeni, hazina muda maalum na wala tume haihusiki hapo.

Kampeni kwa mujibu wa ratiba ya Tume zina taratibu/kanuni zake hizo bado hazijaanza, usihusishe au kuchanganya utaratibu wa utafutaji wa wadhamini ni kampeni, hata hao wadhamini ili wakudhamini ni lazima wasikie neno kutoka kwako hawawezi wakakudhamini tu from nowhere
 
Hilo halina tofauti na la Jana la ccm kuanza kampeni kabla ya wakati kwa kuwanunua wasanii ili wasifie ccm,hapo pia NEC wachukue hatua ccm imeanza kampeni kabla ya muda
 
ccm ni sumu ya maendeleo Tanzania siku ccm ikiondolewa maendeleo yatakuja kwa kasi ya ajabu sana
 
Tofautisha tamasha na kutafuta wadhamini.lakini kama na hili ni kosa nalo linaitaji kukemewa!!
Mbona walivaa nguo za ccm,plus waliambiwa Cha kuimba.oneni hata aibu miaka 5 mnapiga kampeni nchini nzima ikiwemo Hadi kutoa rushwa makanisani na kugawa pesa barabarani ili kununua Upendo.Yeye kusaka wadhamini ni kosa
 
Kwa upeo wako mdogo unaona wapinzani wanaiponda serikali? acha upumbavu wewe kile unachokiona siyo kuiponda serikali bali ni kazi ya upinzani kuisosoa kuonyesha udhaifu mapungufu ya serikali, unataka wapinzani waisifie serikali ili iweje?
Wapinzani wetu wanakosoa mambo ambayo hata wao hawayaamini kama ni makosa na ndiyo maana hata wao huyatenda kwa namna yao,ndio mfano unaona wapinzani wanaikosoa serikali kwa jinsi inavyoichukulia corona ila hao hao wapinzani nao wanaenda kukusanya watu kwa mikusanyiko isiyo ya lazima.
 
N
Nakuhakikishia hamtaweza kumtoa Lisu mkabaki salama.
Kama mnataka nchi hii ianguke kiuchumi jaribuni kufanya huo ujinga wenu.
Usifikiri Watanzania wooote Ni CCM.

Habari ndio hio tunamkaribisha kisutu na kijiweni
 
Back
Top Bottom