Unyanyasaji aliofanyiwa Lisu ni wa kutisha sana na huwa inawashangaza watanzania wakiwaona viongozi wa ccm makanisani misikitini, hutamani wawazuie kufika huko kwa kuwa wamekosa sifa za kuhudhuria nyumba za ibada takatifuKweli kabisa Lissu kapigwa risasi,kaenda kutibiwa,mazombi wanamwita msaliti,laolewa na mabebebru,Sasa najiuliza hivi lisu alijipiga risasi ili aende kutibiwa kwa mabebebru?
Ametukanwa,amenyimwa Haki zake za kibunge,matibabu na hata Haki ya kuombewa alinyimwa.