Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

Mbowe amejificha kwenye huu mpango mbona mda wote kwanini sasa kwa Utawala mpya?
 
Tatizo lipo. Unafikiri misukosuko iliyopo chadema inatokana na nini?
Mamluki ni wengi
Ikiwa wenyekiti mstaafu alikuwa mamluki unadhani hata hao waliopo watakuwa kwenye hali gani?

Misukosuko imeanza baada ya Lisu kuwa Mwenyekiti, hii imepelekea Chadema kushambuliwa kupitia pande zote.

Sioni tatizo kwenye Uongozi wa Lisu ila naona Matatizo mengi kwenye Uongozi wa Mbowe maana ndio uongozi ulioruhusu takataka zote hizo ambazo zinasumbua mpaka sasa.
 
Afrika haikua tayari kwenye mfumo wa vyama vingi?
 

Aiseeh!
Inaumiza Sana.
Wale watu waliokufa. Dah
 
Janja wewe endelea kuwa kungwi wa mapenzi.

Akili ya kuchambua Kombolela na Huba unaileta kwenye kuchambua issue nyeti kama hizi?
 
Wewe nawe acha umbea yani kusoma haujui hata picha uoni, Zero IQ. Hizo ni njama ovu ya serikali ya kidikteta ya CCM dhidi ya CHADEMA.

Eleza how does that concern CCM wakati wanaoshitakiana ni Wana CHADEMA.

 how ???
kivipi. ???
 
Acha mvua indelee kunyesha ili panapovuja paonekane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…