Sina team mimi ni shabiki wa mziki mzuri siyo shabiki wa Nyimbo za matusi na kubana pua.
Upige tu mpaka masikio yako yapasuke lakini ndio ushafungiwaaaa
Wewe si hua unasapoti ushoga na usagaji humu jf,leo ndio umeona watato wataharibikiwa sio teh.Walikua bado hawajaufungia!!?
Safi sana mpaka wanyooke.... Wafanye matusi wameona haitoshi wameamua kuyatamka kabisa ili watoto waharibikiwe.
Mzee baba hahahaha kwani ndio ya kwanza kufungiwa? kwa hiyo mzee baba wenu anachekelea matusi lkn wengine wakiyafanya chumban wafungwe... fyekelea mbaliiii dadekiiii.Ukija kua na familia ya mke na watoto ndio utajua alaa kumbe BASATA wapo sahihi tena utakua mzee kifimbo cheza kbs upambane na wachafuzi wa lugha.
Nasemaje wameshaufungia andamaneni waufungue basi
Wewe ukijua inatosha endelea kulialia hapa kamwambie Boss wako umefungiwaaa. Matusi imbeni ndani kwenu na watoto wenu.Sio kosa lako kumbe ushasema shabiki wabana pua hujui hata mziki mkuu so piga kimya ktk hili tuachie wanamzi wenyewe tupambane
Haaaaa kwahiyo umefurahi mpk baaaaas
Nasemaje wameshaufungia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio wameshaufungia. Naitaji kujua wimbo ume athili vipi shuguli zako za uchumi
Hakuna mtu nibayemuona hana ubongo kama anayeongea kauri ya ujumbe kwenye nyimbo, hivi unaijua fasihi, hivi ushawai jifanyia reserch playlist yako kubwa mwenyewe inahusisha nyimbo zenye ujumbe, ok basi unapenda ujumbe je nyimbo za 20 pacent unazo kwenye simuyako, Ngurumo na TX moshi, naamini ushaona kama uwezi tumia ubongo.Hauna mafunzo yoyote kwa jamii zaidi ya kupotosha maadili.
BTW mimi sina timu wala huo ushabiki wenu
Nahisi sitatizo la waimbaji tena hapo niubongo unashindwa zalisha hormone za kupokea burudani hapo.Najua sana, ila sijaiona hata hiyo burudani yenyewe katika huo wimbo
NibayemuonaHakuna mtu nibayemuona hana ubongo kama anayeongea kauri ya ujumbe kwenye nyimbo, hivi unaijua fasihi, hivi ushawai jifanyia reserch playlist yako kubwa mwenyewe inahusisha nyimbo zenye ujumbe, ok basi unapenda ujumbe je nyimbo za 20 pacent unazo kwenye simuyako, Ngurumo na TX moshi, naamini ushaona kama uwezi tumia ubongo.
Small mind.
[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasahivi mkuu misamiati unafosi kuitafuta tuNibayemuona
Ushawai
Pacent
Kauri
Elimu yetu hii ni shiida
Taja nyimbo tano kwenye praylist yako then tuanzie hapo.unatakiwa wimbounao elimisha bwanaaaaaaaaaaaaaaaa......
yes nasapoti tena 100 percent lakini siwezi kusapoti matusi na lugha za kidhalilishaji.Wewe si hua unasapoti ushoga na usagaji humu jf,leo ndio umeona watato wataharibikiwa sio teh.
Lakini nyimbo zinazoimba 'nyege' ndio mbaya kuliko hao wanaofirana na kusagana,teh teh.yes nasapoti tena 100 percent lakini siwezi kusapoti matusi na lugha za kidhalilishaji.
Mashoga na Wasagaji hua wanafaragha zao.