Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,100
- Thread starter
- #61
Sio kosa lako kumbe ushasema shabiki wabana pua hujui hata mziki mkuu so piga kimya ktk hili tuachie wanamzi wenyewe tupambane
Sina team mimi ni shabiki wa mziki mzuri siyo shabiki wa Nyimbo za matusi na kubana pua.
Upige tu mpaka masikio yako yapasuke lakini ndio ushafungiwaaaa